Cv ya saed kubenea..

Guys,
Kuna jamaa yangu mmoja ana certificate ya Machenical tu lakini juzi amekwenda interview kwa Kazi ya Manager mahala flani na Wahatimu wenye Masters Degree na amewapiga chini na Jamaa kala kazi ! Cheti sio tija ni skills & experience tu

what a heartbreak breaking newzer.
 
CV please,mbona za wengine huwa tunaziulizia,lengo ni kuhakiki kama ni kilaza au la,maana inawezekana ukawa mpiganaji lakini kilaza tu



Kwa hiyo kwa Maelezo yako tunaweza kupima Ukilaza au kutokuwa kilaza kwa Mtu kupitia Cv? Saed Kubenea ni Mtu Mwenye Uwezo Mzuri sana Kichwani,Kazi zake zinamshuhudia!!
 



Umeshasema Yote!!! Hawa Wana Cv kuuuuuubwa halafu utendaji zero,Akina Professa Maghembe!! Mtu atapimwa kwa Kazi zake sio Karatasi zake!!
 



Kama Kubenea ni Tapeli basi tunahitaji Matapeli wengine kama yeye 50 tu Nchi hii itasonga Mbele!!
 
Siyo lazima kuwa class monitor kwanza background ndio uje kua activist mzuri ukubwani. Tokeni hapa.
 
B.A IN UCHONGANISH
B.SC IN UNAFIKI
Phd in uongo zote amepatia chuo kimoja kilichopo jehanamu
 
Mtu mnafiki anayeandaa mazingira ya kuingizwa zizini baada ya kuwatetea akina nanihii utamjua tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…