Wadau!
Mwenye cv ya huyu mtu aweke hapa maana hakika serikali imeamua ikajidhalilishe kwa kumtumia huyu jamaa maana licha ya kuwa alikuwa mkurugenzi kiwanda cha nyama ila anamaisha ya kihuni- huni, kama uvaaji wa jeans mlegezo,chain kubwa, kofia kugeuzia nyuma kama 50 cent yuko kukwaani sasa kweli kuna Dc hapa? Labda abadilike....ila kama una Cv weka hapa...,