Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,488
- 2,759
Habari wakuu,
Ni kijana ambaye mbunifu sana jasiri na asiyeyumbishwa kwa sasa ukiangalia mienendo ya kijana huyu ni kama vile namuona Julius Malema wa EFF.
Hakika ni kipaji na hazina kwa CHADEMA!
Mwenye CV ya kijana huyu wanajamvi naomba atuwekee humu.
Hakika shughuli ya kijana huyu imetulazimu CV yake ,amelinyima jeshi la polisi usingizi linahaha.
Julius Malema?? Kwa hiyo unamtabiria jamaa kupotea vere soon au??Habari wakuu,
Ni kijana ambaye mbunifu sana jasiri na asiyeyumbishwa kwa sasa ukiangalia mienendo ya kijana huyu ni kama vile namuona Julius Malema wa EFF.
Hakika ni kipaji na hazina kwa CHADEMA!
Mwenye CV ya kijana huyu wanajamvi naomba atuwekee humu.
Hakika shughuli ya kijana huyu imetulazimu CV yake ,amelinyima jeshi la polisi usingizi linahaha.
Hakika mimi nawavulia kofia. Wakiamua kitu hawarudi nyuma Kamwe.Mara zohe wamasai ni watu jasiri sana