guzman_
JF-Expert Member
- Jan 27, 2016
- 1,276
- 2,435
Ndg wana JF. Wasalamu.
Hivi karibuni nimejaribu kupitia michango/thread zilizoletwa na mtajwa hapo juu.
Kwa namna ya uandishi wake na mawazo yake imenilazimu kutaka kujua Pascal Mayala ni nani hasa? Kiwango chake cha elimu? professional yake ni nini?Historia yake ya kiafya ikoje (Hasa ya kiakili)?Na kama mtanzania au la! n.k
NB: Naamini hamna mtu anaweza kuwa na fikra kubwa kama huyu jamaa. Kitendo cha kuleta mada ya mkuu wetu wa mkoa kuwa Raisi wa JMT baada ya JPM binafsi nimeona ni suala zuri ila nani kaleta mawazo hayo ndo nataka kujua profile yake.