Wadau naomba tuiangalie CV ya huyu Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi tuone kama ina kidhi majukumu mazito :
EDUCATION
Rukwa Primary School, Chunga Primary Education 1982 1989 PRIMARY
Mbeya Secondary School O-Level Education 1990 1993 SECONDARY
2007[/QUOTE.
Primary school miaka minane? Alirudia AMA hakumbuki alisoma miaka ipi? Ama in enzi za middle school?
Mbona ana BA wandugu?Au alitakiwa awe na elimu kiasi gani?
Na hiyo shule binafsi ni yake...Ingekuwa ni kuajiliwa sina hakika kama angepata kuwa mwalimu...Maana hata voda fasta hakupitia huyu...Nway, si unajua nafasi za uongozi ndani ya sirikali hii ni kujuana!Ahasante kwa kutujuza! Yaani Mwalimu wa shule ya Sekondari BINAFSI, asiyepata mafunzo yeyote ya UALIMU, anapanda ngazi hadi kufikia UNAIBU WAZIRI WA ELIMU!!!! Tunaipeleka wapi ELIMU katika nchi hii jamani? Lakini usishangae wana JF kibao watajitokeza na kumsifia kuwa jamaa ni KICHWA!!! We haya we!
'Mna wivu wa kike'
Haya silizeni presentation aliyotoa wiki mbili zilizopita SA.Fungua link hiyo utamsikia sambamba na wengine
Hon Philipo Augustino Mulugo, Dep Min of Education & Voc Training, Tanzania, Innovation Africa 2012 - YouTube