Well said mkuu, hila hapo kwenye red nadhani umeghafilika kidogo - kama kuna GUI kuna haja gani tena ya kuandika CODE ya kusave file kwa kutumia CLI? One more thing, hivi kwenye 1980s Treasury ilikuwa na Mainframe au Minicomputer - 'am just curious! Thanks.
Nilichanganya mkuu nilikua na maana hakukuwa na GUI ndio maana code ilikua inaandikwa ya hata kusave files, Treasury walikua na Mainframe ICL ME29. Kama sijakosea