Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,898
arifu umeongea jambo la maana sana......kweli kabisa tz kama hapo NIDA walichukua jamaa wenye 1-3 na first class tena udsm tu.....wakiamini ndio wenye uwezo.....sasa uliza je hizo systems wana build hapo au wamenunua??
ndio maana sasa hivi utaona msururu wa watu wanagomban ia masters ya mzumbe.......hata hao wanaokuja ku build hiz systems zao hawana hizo masters.......
Elimu vyuo vikuu ni ya juma jumla tu, no specific studies. Majuu wanajali wanaochukua kozi fupi ambazo hujikita kwenye uwanja husika na kufanya utafiti na majaribio kabla ya kuhitimu. Bila kupasi majaribio kwa vitendo wawapo kwenye field basi hakuna kufaulu. Bongo tofauti kabisa na mtazamo huu.