illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
kuna namba ya ya polisi ya dharura ambayo huwa tunaitumia kipindi cha dharura cha dharura kama kile kipindi cha noah nyeusi, au hivi vitoto vya mbwa na panya vinaposumbua.....binafsi huwa ni mtumiaji mkubwa wa hii namba lakini kila napo toa taarifa huwa naambiwa "taarifa tunazo tumeshatuma polisi na wamekuta ni uzushi mtupu....wakati kihalisia basi ngoja niiishie hapo...