Jamani hatakama hampo dar, I la jueni ili tatizo halija anza jana, na hata kabla ya hao vijana kuanza safari yao...ila jana ilikuwa kufuru mitaa mingi ilivamiwa. Hatuawadanganyi, ila naamini kuna ndugu zenu wapohuku jaribu kuwa uliza piUjinga mtupu hakuna cha paka wala panya watu wa Dar ni wambea sana
apende kioo kwani yy fundi makabati?
Teh..... sijakusoma, mshangao au swali lako linalenga nn
Hajakuelewa uliposema KIOO, yeye anadhani kioo cha kujitazama (mirror) wakati wewe unamaanisha KIOO (on screen)!