Cv ya katibu mkuu wa ccm

naomba ile picha aliyobeba sahani (ana sifa ya kula)
 
Hii ndiyo Tz, na hawa ndo wa-Tz. Badala ya ku-discuss issue za msingi mnadiscuss cv ya Makamba!!! Ama kweli ng'ombe wa maskn hzai. Naisktikia nch yangu.
 
hapo kwenye red, 95% ya hayo magari ni used from china
 
Ana cheti cha uropokaji ambacho alikipata chuo kimoja alichosoma Tambwe Hiza
 
na hao walimu aliokuwa anawafundisha sio siri walikuwa na kazi ya ziada.
jamani kama kuna wanafunzi waliofundishwa na huyu jamaa watupe shuhuda..:laugh:

Hapana, aliwapotosha watoto wote aliowafundisha kiasi kuwa hakuna hata mmoja aliyekwenda sekondari; kwa hiyo hakuna anayejua kutumia intanet kuweza kukujibu hapa JF.
 
Hapana, aliwapotosha watoto wote aliowafundisha kiasi kuwa hakuna hata mmoja aliyekwenda sekondari; kwa hiyo hakuna anayejua kutumia intanet kuweza kukujibu hapa JF.

teh te te te teh
Ama kweli some ujionee
 
Makamba ni mtunzi na mwandishi wa vitabu juu ya uongozi na rushwa
 
Simple minds discuss about people,ordinary minds discuss about events but great minds discuss about ideas,so where are each of us fit in?.
 
Yote juu sahihi na sina nyongeza tena. Ila nahisi kiatu hiki cha sasa ni kikuuuubwaaaaaaaaa mno kwake japo kiwango cha elimu si kigezo pekee cha kiongozi mzuri.
 
Simple minds discuss about people,ordinary minds discuss about events but great minds discuss about ideas,so where are each of us fit in?.
Ideas include public leadership qualities as exemplified by people who hold those leadership positions such as Makamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…