Amani kwenu wadau, Naomba kujua CV ya huyu mbunge wa jimbo la Kondoa kusini ,Naibu waziri wa habari,utamaduni na michezo, kama kuna mtu anaijua atupie humu.Nimejaribu kwa tovuti ya bunge sijaelewa vizuri.Hua namkubali sana huyu jamaa kwa jinsi anavyojibu maswali bungeni tena kwa kujiamini, Nilisikia kua anasoma UDOM ,sijajua ni postgraduate dploma,masters PHD au kipi kwa mnaojua.