CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
Uko very wrong mkuu, usikimbilie kumjaji mtu vibaya, cv imewekwa and its good.
Changamoto ni kwenye kuitumia kutekeleza majukumu alopewa na wananchi.
Acheni kashfa ninyi, na udaku wenu, nimegundua mnatumwa kumchafua nkamia na Zitto, kwa kulipwa vijisent, sasa next time anayekutumeni nimeongea naye akasema atawapa hela mumuvulie Bikini.my house girl is more important than Nkamia!
hvi haka kabinti ni katoto ka mwl nyerere au jina tu linafanana?......, hata leticia nyerere amebwabwaja eti enzi za nyerere hakuwai kusikia viongozi wa nchi wakitukanwa mitandaoni, hivi kuna mtu anatukana hapa kama mnavyotukanana hapo bungeni???
Wewe leticia nyerere kama umeamua kufanya biashara ya utumbo usiogope kunuka kinyesi.
No I am not wrong. Hata kama alimaliza form six, angelikuwa na pass nzuri angelikwenda University directly, kitendo cha kutokwenda university na amemaliza Mzumbe/Sengerema???? Mzumbe shule nzuri mpaka leo ni kuwa alidunda kidogo for a direct university entrant qualification. Kama wengi walivyosema, elimu aliyonayo inawea kumtosha kufanya kazi ya kuwawakilisha wananchi, lakini inahitaji tafakuri zaidi kwa level yake inapokuja technical issues.
Kama hauna cha kusema,kaa kimyaMkuu hii CV haijitoshelezi. Mbona inaheng'iiii. Jaribu kuleta complete issue which definitely can be understood to all members. Sorry!!!!!!!
Hivi hii CV yake nzuri eeh??!!!Cv siyo mbaya but nimeona mwelekeo wake katika bunge sio mzuri.si mwakilish mzur kwa wananchi
Jamaa alisoma A- Level Miaka mi 3 ????
Parliament of Tanzania
Same Secondary School
A-Level Education
1989
1990
HIGH SCHOOL
Sengerema High School
A-Level Education
1991
1991
HIGH SCHOOL
Mzumbe High School
A-Level Education
1991
1992
HIGH SCHOOL
Inachekesha kweli kweli. Hivi kama mtu una IQ inayofanya kazi utasomaje A Level miaka 4 yaani 1989-1992? Four years solid kama uko O level. Hapa inaonekana kuna tatizo limejificha kwa Bwana Ngamia. Halafu inaonekana baada ya kumaliza A Level kuna miaka 3 imepotea hapo katikati sijui alikuwa anauza asali na alizeti huko Kondoa? Maana amekuja kuibukia RTD mwaka 1995 kama Mtangazi kwa ajira ambayo bila shaka ni Direct Employment kwa F4!Yawezekana 'A' Level yake ni Division 0 yenye masikio!!!!
We can therefore conclude that huyu jamaa shule yake imekuwa ya kuunga unga na ajira za kubahatisha. Kwa maana hiyo huwezi kumweka kwenye kundi la watu ambao ni intelligent/genius, briefly he is dull na ndiyo maana hata anavyoongea inaonyesha ndiyo upeo wake wa kufikiri. Ngamia ni bomu!
Wanatoka sehemu moja na Afande Kova na ndiyo wasomi wakubwa wa eneo lao. Sasa fikiria hao wapiga kura wao wakoje. Kweli lazima tupeleke M4C kuwakomboa watanzania hawa mikononi mwa vilaza hawa.Nkamia naona kwa akili na uelewa ni sawa na Ngamia naona ni ndugu moja
yaani nyie watu mnachekesha sana,ikiwekwa cv ya mtu wa chadema hata kama hajasoma mnasema hatuitaji vyet twataka uwajibikaji bt ikiwekwa ya CCM mnaiponda kua kilaza,daa kwakweli mnaboa sana na akili zenu fupiKuna chama hakihitaji elimu kinahitaji ukereketwa kina viongozi wa aina hiyo wengi hadi waganga wa kienyeji (Maji Marefu)
Ni mtu wa kujikomba sana kwa wakubwa.
CV ya huyu jamaa siyo mbaya, ila sio siku nyingi mimi Kwamtoro mzaliwa wa kondoa kusini ambaye nauwezo mkubwa wa kuwa mbunge sahihi wa Kondoa kusini kulichukua ilo jimbo. Nampigia jaramba tu, awezi kuruka.
Ina maana alianza form 1 akiwa na umri wa miaka 13?
Form four aliamaliza akiwa na miaka 16?
Form five na six alisoma kwa miaka 3??
Namashaka na haya maelezo binafsi ya Juma Nkamia
Jamaa alisoma A- Level Miaka mi 3 ????
Parliament of Tanzania
Same Secondary School Sengerema High School Mzumbe High School
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1992[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]