Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,387
- 3,158
Mbona hafanani na mtu wa mjini?
Mtu wa mjini ndo anakuwajeMbona hafanani na mtu wa mjini?
Huo ni ufukunyuzi wa bongo anacheza,kwa faida gani?Kwafaida ya nani aseme hapa!Kamaliza UDSM mwaka gani kozi gani?
Wa mjini kama Dotto Magari sio??Mbona hafanani na mtu wa mjini?
Hawajawahi kuwa mzalendo huyo mtu ameshiriki ujinga mwingi kipindi cha jiwePolepole kawavua ngua zote Hawa vichaa hadi wameanza kujitungia vihabari vya uongo ili tu kumchafua mzalendo wa watanzania hamphrey polepole