Acheni kuwa na fikra finyu. huyo aliepost CV ya Dr. Francis mwenyewe haijui, acheni wivu wa kike nyie. Dr. hajawahi kusoma BA (ED) wala hiyo MBA hajasome UMEA-Swedeni.. mnakurupuka tu ebu nendeni mkajipange tena. ana elimu ya kuungaunga leteni na nyie cv zenu tuone...hao ukawa wenyewe wamesoma shule za kata halafu manataka kuwafananisha na dr. Francis. maamuzi ya kutaka serekali mbili au tatu ni ya kwake na ni haki yake ya msingi kabisa kuchagu wapi aende. acheni siasa uchwala. kwa taarifa tu congo wana kasavubu. na huyu ni Dr. francis kasabubu Michael someni historia vizur au rudini shule kwanza msituletee utumbo hapa
Huyu jamaa hana u-Doctor wowote, ni Kihiyo tu aliye-fluke elimu ya kuunga unga!
Watu wenye akili wanajulikana tu hata wanapoongea. Lakini huyu kihiyo hata ukisikiliza anavyotamka maneno unaona kabisa kuna shida ndani ya ubongo wake!!
Sina hakika kama anaweza akazungumza hata sentenso moja ya Kiingereza kwa ufasaha.Kama kuna Waalimu waliowahi kumfundisha watakuwa walipata taaaabu sana!!!
zumbukuku
Pole mkuu-Phd- hiyo D=Doctor na ph=Philosopphy-Sorry kama ntakuwa nimekosea spelling of some wordsNi Dr wa nini sasa ?????????????????
Hakuna msomi anaeweza kuandika ujinga huu-kwa uandishi huu na pointi hizi hakuna dalili zinazoonesha kuwa ww umewahi kusoma na Moses Machalihahahahah hatariiii kweli kweli, mimi huyo anaejiita Moses machali namfahamu vizuri, huwa namshangaa sana huyu jamaa siku zote tunamstahi lakin anaona watu vichwa maji kama alivyo yeye huyu jamaa ni mrundi kabisa, mm namfaham nimesoma nae tena ni slow learner sijapata kuona. sio mtanzania na yeye anafahamu kwamba kasulu sio kwao walikuja kutoka Burundi, na wala hana uzalendo wowote alisoma chuo cha kata. na tunataka huyo mpakistani Jussa na bwana wenu lisu watuombe radhi...zaidi ya yote machali rudi kwenu Burundi. ulishazoea sasa unaburudika sana unapoona Tanzania kuna vurugu
imepatikana-kwani ilikuwa imepotea?mkuu wana ukawa wameishiwa wanahaha sasa, wameumbuka kupita maelezo hati ya muungano kupatikana na sasa watajifanya wanapotezea hawataiongelea, hawana chakusema tena wataishia kuleta mipasho na majungu yao kama kawaida. wameshindwa kupata kura kwa wananchi wanaishia kuendekeza lugha chafu na kutukana matus. labda viazi wenzenu ndo watawachagua kwa huo mtindo wenu wa kutukana na vurugu za hovyo hakuna mwenye akili timamu atakaeungana nao
Uzoefu unaonesha kuwa asilimia kubwa ya watu waliounga unga elimu zao (Hawakwenda straight Primary-O level-A Level then University)-wanashida kwenye kufikiria.Kumbuka na ninaomba niombe msamaha kwanza kwenye hili.''Sifa kubwa ya kuwa mwalimu nchi hii ( mwalimu wa sekondari na shule za Msingi ) ni Kufeli''. Note:huyu jamaa ana diploma ya ualimu some where-think umenielewa- Duh!! sasa mkuu wa UKAWA kweli unaweza kumlinganisha na Sugu au Dr. Slaa? Sometimes mnatia kinyaa sana na kiu yenu ya kushika dola, sasa kweli unaweza mlinganisha Dr. Fransic na Sugu?
- Mmeenda mpaka Chuoni kwake kutafuta maneno ya uongo uongo ili iwe nini? Hiyo UKAWA yenu imekufa sasa itakuwaje?
Le Mutuz System
Uzoefu unaonesha kuwa asilimia kubwa ya watu waliounga unga elimu zao (Hawakwenda straight Primary-O level-A Level then University)-wanashida kwenye kufikiria.Kumbuka na ninaomba niombe msamaha kwanza kwenye hili.''Sifa kubwa ya kuwa mwalimu nchi hii ( mwalimu wa sekondari na shule za Msingi ) ni Kufeli''. Note:huyu jamaa ana diploma ya ualimu some where-think umenielewa
kwanza aksante na samahani tena kama ww ni mmoja wa hao,- Mkuu kuna mahali un aweza kupeleka huu upuuzi wako, nakuuliza Sugu na Dr. Fransic nani ana elimu ya kweli?
Le Mutuz System
kwanza aksante na samahani tena kama ww ni mmoja wa hao,
Pili elimu ya kweli unaipimaje?Ninavyofahamu mimi elimu si vyeti ila ni uwezo wa kufikiri na kutafakuri mambo,kujenga hoja,kujiamini,ubunifu na uwezo wa kujieleza-Dr wako kwenye mambo yote haya hayupo.
Tatu-Mkuu watoto wengi wa viongozi wetu mnasoma nje-je hii inanatokana na vyuo vyetu hapa TZ kuwa na maDr na Maprof wa aina ya Michael Fransis?
Hakuna msomi anaeweza kuandika ujinga huu-kwa uandishi huu na pointi hizi hakuna dalili zinazoonesha kuwa ww umewahi kusoma na Moses Machali
kwanza aksante na samahani tena kama ww ni mmoja wa hao,
Pili elimu ya kweli unaipimaje?Ninavyofahamu mimi elimu si vyeti ila ni uwezo wa kufikiri na kutafakuri mambo,kujenga hoja,kujiamini,ubunifu na uwezo wa kujieleza-Dr wako kwenye mambo yote haya hayupo.
Tatu-Mkuu watoto wengi wa viongozi wetu mnasoma nje-je hii inanatokana na vyuo vyetu hapa TZ kuwa na maDr na Maprof wa aina ya Michael Fransis?
Labda ufanye hivi ili na wewe upate jibu: muulize HIVI KATI YA SUGU NA DR.FRANCIS NANI KAELIMIKA KIUKWELI...nadhani utajisaidia hata wewe mwenyewe, broiler mkubwa.....- Mkuu kuna mahali un aweza kupeleka huu upuuzi wako, nakuuliza Sugu na Dr. Fransic nani ana elimu ya kweli? Le Mutuz System
Huyu jamaa ni mkongo, jina lake ni Kasavubu. Kuna wanafunzi wengi sana amefanya nao ngono ili waweze kufaulu. Mkihitaji uthibitisho tutaubandika hapa hapa jukwaani
Labda ufanye hivi ili na wewe upate jibu: muulize HIVI KATI YA SUGU NA DR.FRANCIS NANI KAELIMIKA KIUKWELI...nadhani utajisaidia hata wewe mwenyewe, broiler mkubwa.....
unajicheesha nini...JIBU ktk yao nani kaelimika kiukweli/zaidi?nadhani unajua namaanisha nini,,kuna tofauti ya vyeti na kuelimika..- HA! HA! HA! HA! HA! Le Mutuz System
Una bahati mbaya kama mimi. Huwa nakosa ujasiri wa kujitambulisha kwamba niliwahi fundishwa na huyu jamaaMwalimu wangu......alinifundisha human resouce pale udbs.