Alipwaya pakubwa sana na nitakuonyesha kaeneo kadogo tu, pale alipoulizwa kuwa nchini Tanzania kuna subjects au citizens? Mbona hakujibu badala yake alijumauma! Angle nyingine ni pale anapoitetea mahakama kumnyima mtu dhamana kww makosa yanayodhaminika licha ya kuwa yeye ni mwanasheria. Kiukweli hakuwa size ya Lissu na kiuhalisia wanaowatuma wanaichora nchi ni bora wakubali na kuomba po!Masilingi hakupwaya hata kidogo. Ila zipo hoja ambazo hata ungemuweka Lissu kwenye upande wa balozi angepwaya sababu hazina majibu hadi leo. Kama waziri wa mambo ya ndani hana straight answer vipi balozi? Masilingi ni super genius na bingwa wa sheria, pia uzoefu wake ulimsaidia kumtoa Lissu kwenye angle flani ambazo wengi najua hamkuweza kusoma. Rudieni mahojiano yote muone mjadala uliegemea wapi na kwanini! Yule mzee yuko vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipwaya pakubwa sana na nitakuonyesha kaeneo kadogo tu, pale alipoulizwa kuwa nchini Tanzania kuna subjects au citizens? Mbona hakujibu badala yake alijumauma! Angle nyingine ni pale anapoitetea mahakama kumnyima mtu dhamana kww makosa yanayodhaminika licha ya kuwa yeye ni mwanasheria. Kiukweli hakuwa size ya Lissu na kiuhalisia wanaowatuma wanaichora nchi ni bora wakubali na kuomba po!
sasa kilichompeka kwenye mdahalo ni nini?? we unajua kabisa huna detais za shambukio nzima then unajipeleka kichwa kichwa ukaumbuke!!Masilingi hakupwaya hata kidogo. Ila zipo hoja ambazo hata ungemuweka Lissu kwenye upande wa balozi angepwaya sababu hazina majibu hadi leo. Kama waziri wa mambo ya ndani hana straight answer vipi balozi? Masilingi ni super genius na bingwa wa sheria, pia uzoefu wake ulimsaidia kumtoa Lissu kwenye angle flani ambazo wengi najua hamkuweza kusoma. Rudieni mahojiano yote muone mjadala uliegemea wapi na kwanini! Yule mzee yuko vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuangalia kipindi cha Straight Talk Africa, ambapo Mh. Tundu Lissu na Balozi Wilson Masilingi walihojiwa, nilishangazwa na jinsi Balozi wetu huko Marekani alivyopwaya na kupata tabu kujielezea kwa Kimalkia na pia kushindwa kudhibiti jazba zake.
Nilidhani pengine ni Kimalkia tu kinamsumbua huyu ndugu yetu, lakini nikagundua kuwa tatizo sio lugha kwani kwenye mahojiano mengine yaliyofanyika kwa kiswahili katika VOA Swahili, hali ni ile ile.
Mbaya zaidi kwenye hii interview ya pili, hata kufuata taratibu ndogo tu za midahalo ya kistaarabu hakuweza.
Haya yote yamenipa hamu ya kufahamu safari ya kiongozi wetu huyu na ni jinsi gani ameweza kufika katika nafasi kubwa kama hiyo pamoja na mapungufu hayo.
Hivyo basi, nawaomba wenye ufahamu juu ya elimu na uzoefu wa Balozi Wilson Masilingi atuhabarishe.
Acha uongo loohJua kuwa huyo balozi ni wale vichwa Nyerere alituachia katika dakika zake za mwisho wa uongozi wake. Inasemekana alikuwa mmoja wa mahakimu vijana waliotingisha enzi hizo kwa kutia hatiani vigogo wahalifu walikuo na uwezo wakununua maisha yako.
mbona hard talk ya lissu hamkuizungumzia/wakati na yeye alipuyanga.Alipwaya pakubwa sana na nitakuonyesha kaeneo kadogo tu, pale alipoulizwa kuwa nchini Tanzania kuna subjects au citizens? Mbona hakujibu badala yake alijumauma! Angle nyingine ni pale anapoitetea mahakama kumnyima mtu dhamana kww makosa yanayodhaminika licha ya kuwa yeye ni mwanasheria. Kiukweli hakuwa size ya Lissu na kiuhalisia wanaowatuma wanaichora nchi ni bora wakubali na kuomba po!
Acha uongo looh
Masilingi ana u genius gani bhana...!!!
Pia kutetea uongo ni kazi kubwa sana.moja ya vitu ya mapungufu niliyoyaona kwake katika VOA part 2 ni kuwa ubalozi kagewa kishikaji tu - huyu jamaa siyo diplomatic kabisa!!
TL mwenyewe alichachawa na kila wakati akimwita a very senior lawyer in Tanzania which means TL na misifasifa yake yote anakubali ni jr kwa mh Masilingi.
Kama hakuwa na majibu alienda kufanya nini sasa?Masilingi hakupwaya hata kidogo. Ila zipo hoja ambazo hata ungemuweka Lissu kwenye upande wa balozi angepwaya sababu hazina majibu hadi leo. Kama waziri wa mambo ya ndani hana straight answer vipi balozi? Masilingi ni super genius na bingwa wa sheria, pia uzoefu wake ulimsaidia kumtoa Lissu kwenye angle flani ambazo wengi najua hamkuweza kusoma. Rudieni mahojiano yote muone mjadala uliegemea wapi na kwanini! Yule mzee yuko vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Si unajua tena siku hizi wanachaguana kisukuma.
Alifjkiri Lissu atababaika..kudaadeeki.
Mbali na kazi ngumu ya kutetea Uongo pia Ana sura ya Kilevi inaonesha hela ya wapiga kura Huishia kwenye Whisky.Pia kutetea uongo ni kazi kubwa sana.
Wengi wameshindwa kuwa na moyo aliokuwa nao Masilingi. Kwenda kubishana na Lissu kwenye chombo cha habari cha kimataifa, tena ughaibuni, kwa lugha ya kingereza, mtangazaji na mgeni mwalikwa mwenzio wote wako dhidi yako. Yataka moyo