paesulta
JF-Expert Member
- Mar 13, 2009
- 227
- 29
Wanajamii naomba msaada.nimekuwa nje ya nchi kwa muda mrefu na sasa najiandaa kurudi nyumbani,najaribu kutafuta kazi na naomba yeyote anayeweza ku-upload mfano wa CV zinazotumika Tanzania basi anihabarishe kwani katika soko la ajira kila sehemu wanakuwa na namna ya CV ambazo zina-suite mahitaji ya sehemu hiyo,hivyo naomba kwa yeyote aliye na mfano wa CV zinazotumika Tanzania aiweke hapa ili nipate mfano....Thanks in advance