CV Kali

Kichankuli

JF-Expert Member
Dec 18, 2008
887
189
Bora siku hizi kuna haya mambo ya Ujasiriamali, jamani kuomba kazi kwa lugha isiyo yako kazi kweli , hebu soma hii cv ya huyu jamaa anayeomba kazi ya ulinzi alivyojitutumua kwenye ung'eng'e.
 
Nimeipenda kuliko maelezo. Uzuri amekiri kuwa alifeli somo la kiingereza
 
Nimeipenda kuliko maelezo. Uzuri amekiri kuwa alifeli somo la kiingereza

Laiti kama angepewa fursa ya kufanya presentation ya hiyo CV yake nadhani ingenoga zaidi na mwajiri asingalisita kumpatia hiyo ajira
 
Msisitizo huu nime u-love
"remember english is not our mother land (tongue)"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom