CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
charminglady hakuachii huyu wala anajambisha tuYethu na maria, laadhidhi,mukwano,mahabuba nipo chini ya miguu yako lakin ckuchungulii mpnz wangu. nisamehe sana,lakn nimekukosea nini? mamaaaa yangu measkron upo wapi mwanao napewa talaka. . . yeuwiiii!!!!!!!
CUTE mpnz et sobhuza ataka kunibwaga kisa wewe. me nakuonya chonde chonde mamie kama unajipenda ucthubutu kukubali, hata kule nanii nitaenda ilimrad nicmkose laadhidhi!
i love u cutecharminglady swtht usijali mm sitamkubali mana nishamkubalia Saint Ivuga na moyo wangu uko huko kwake ivo sitaweza kuugawa mara mbili tena ......usiwe na shaka shostito
:A S 11:.am fine thanx to you cute.:A S-rose:Saint Ivuga hujambo barafu wa moyo wangu
hahha jamani jamani shost lol! nimechekaje sasa mpaka makaratasi yamepeperukauuuhuuu. . . yan nimeshusha pumzi ndefu mpk makaratas yamepepea hapa mezan. nakushukuru sana shosti!
me more Saint Ivugai love u cute
njoo huku pm CUTE nikuambie kitu kizurihahha jamani jamani shost lol! nimechekaje sasa mpaka makaratasi yamepeperuka
pole sana jamani pole mnooo mm namtaka Saint Ivuga tu jamani na nataka nimfanye awe wangu 4reva
usinipotezee hutu mtoto mana nimekufa kwake kweli and i mean itWhaaaaaaaaat?
Where is my red cat...
am comingnjoo huku pm CUTE nikuambie kitu kizuri
jamani nini sasa mbona umeshangaa ivoWhaaaaaaaaat?
Where is my red cat...
you dont wanna quarrel with me stay away from CUTEPliiz Ivuga, wewe ni mtu wa mwisho kukwaruzana nae humu jamvini.
Wuld you stei aut of zis pliz braza...