Ungekuta inawezekana ningeomba muda urudishwe nyuma hadi ile miaka bibi yake Nandy akiwa msichana halafu nipambanie hilo kombe... bibi Nandy ni mzuri balaa.
Nilikuwa nampango wa kwenda mbinguni kwa nyuzi hizi kuzimu kunaniita..
Nakemea fire fire fire,baba uwa baba uwa,piga baba,baba piga,nyonga baba baba uwa fire fire fire.