Shaibu Hiwalisi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 603
- 582
Habari wadau/wakuu.
Nimeflash simu yangu ya tecno w3 mkt6580 Android 6.0 hios lite 1.0 kwa kuiwekea custom rom ya lineageOs 13 yenye android 6.0.1.
Imefanikiwa na inafanya kazi vizuri. Tatizo nililokutana nalo ni speaker aitoi sauti hususan umaposikiliza na kuangalia music na video.
naombeni msaada jinsi ya kulitatua tatizo hili.
Natanguliza shukrani kwa wachangiaji wote.