wakuu nimekuwa nikiona mara nyingi hili neno "custom rom" ila kiukweli sifaham ni kitu gani hicho, kwahiyo wakuu kama kuna yeyote anafaham anijuze.
na pia nilisikia kuwa kuna watu huwa wanaibadili, wanabadilje na wakibadili ni kitu gani kinabadilika???
natanguliza shukrani
A custom ROM is a fully standalone version
of the OS, including the kernel (which makes
everything run), apps, services, etc -
everything you need to operate the device,
except it's customized by someone in some
way.Simple unaweza kusema ni zile version za OS ya SMU yako ambazo zmekua modified ili tu kuongeza vitu vipya katika Simu yako.
Kuhusu kubadili ni process kidogo na kila brand ina jinsi ya kuweka Custom ROM kwa namna yake.Mimi natumia Samsung ni rahisi kufanya hyo kazi.
Vitu vinavyo ongezeka ni vingi tu.
1.utapata features nyingi za customization kama vile themes
2.performance ya Simu yako itakua nzuri na hata battery life itakua nzur kwa baadhi ya ROM.
3.utapata latest update kiurahisi na Mara kwa Mara..
4.pia uta gain root acces kwenye device yako na kuenjoy app nyingi tu kama greenify,titanium backup etc.
Angalizo..kuflash custom ROM ni hatari Kwa Simu yako unaweza ukaua baseband, bootloop. na mengine mengi tu na kubwa ni utakua ume void your warranty.
Karibu uwanja wa custom ROM ufaidi ulimwengu wa android.