NDAGLA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 2,490
- 1,357
Kama kuna mtu anategemea kuna mgombea atatangazwa mshindi kutokana na matokeo yaliyofutwa basi ana matatizo ya akili.
Kama Jecha ana mamlaka ya kufuta matokeo kikatiba na sababu alizozitoa zina mashiko then vyama washiriki walipaswa kusubiria tarehe ya marudio itangazwe na kama JECHA HANA HAYO MAMLAKA KIKATIBA AMA WANAUSHAHIDI SABABU ZAKE HAZINA MASHIKO WANGEMBURUZA MAHAKAMANI.
Hata hayo maridhiano ya CCM na CUF ni kupoteza muda tu unless otherwise ZEC ndo ingekuwa inayaongoza.
Ni suala la muda tu lakini uchaguzi utarudiwa hata kama CUF watasusa.