singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
Kwani we ndie msemaji wa CUF au we ni Maalim Seif?Tafadhali usitutie maneno kinywani!
Hata siku moja hatutokubali kurejea uchaguzi - may be over our dead bodies!
hivi kwa nini gazeti lenye kusema uongo kama huo lisifungiwe? wanaosema uongo wanaachiwa wanaosema ukweli wanafungiwa hii nchi ya ajabu sana
Kukubali kurudia uchaguzi ni uvunjifu Wa amani.??Hilo gazeti lifungiwe kwani kwa uchochezi huo inaweza kuleta uvunjifu wa amani.
Nape upo?
Nape yupo "makini". Kama gazeti na bandiko lake limesema uongo tena kwa masilahi ya chama fulani Nape atalifungia tu. Ngoje tuone kama kuna tamko lingine la kuthibitisha habari hiyo!Hilo gazeti lifungiwe kwani kwa uchochezi huo inaweza kuleta uvunjifu wa amani. Nape upo?
Hilo gazeti lifungiwe kwani kwa uchochezi huo inaweza kuleta uvunjifu wa amani.
Nape upo?
Tafadhali usitutie maneno kinywani!
Hata siku moja hatutokubali kurejea uchaguzi - may be over our dead bodies!
Vijigazeti vya kipropaganda shida sana
Hilo Gazeti Limefanyiwa Editing
Nimeliona Live limeandikwa :
Zanzibar wakubali Kurudia Uchaguzi ""!!
Hakuna Neno Cuf pale ,,
Wewe usiache nikupe maneno mazito bado asubuhi. Habari kama hiyo ingekuwa ya kweli ingeweza kuandikwa na kigazeti cha aina hiyo pekee?Kukubali kurudia uchaguzi ni uvunjifu Wa amani.??
Hivi nyinyi Nyumbu akili zenu zipo matakoni au
Nape yupo "makini". Kama gazeti na bandiko lake limesema uongo tena kwa masilahi ya chama fulani Nape atalifungia tu. Ngoje tuone kama kuna tamko lingine la kuthibitisha habari hiyo!
Nyumbu mamaakoKukubali kurudia uchaguzi ni uvunjifu Wa amani.??
Hivi nyinyi Nyumbu akili zenu zipo matakoni au