Tunataka serikali tatu, wizara 15 zinatosha, bunge tatu inatosha, mishahara ya wabunge iende kwa kulingana na mishahara ya wakuu wa shule za sekondari, ikipanda ikishuka, mawaziri nao mishaara yao iwe ina vigezo. Raisi asiwe tena na mamlaka ya kutengua uteuzi wa viongozi wakuu ila kwa baraka za Bunge. Cuf wameandika vizuri sana.