CUF yataka Eddy Riyami aachiliwe haraka

Hivi cuf bado wanafikiri wanaweza kusikilizwa na policcm? Wanajisumbua tu kutoa taarifa hizi ambazo haziwezi kuleta matokeo yoyote. Nchi za kiafrica lazima zipitie tanuru baya kama walilopitia Kenya ndo wapate adabu. Kenya wanaheshimiana knoma wakati huu. Viongozi wetu watuhurumie kwakweli.
 
tatizo siyo east african politics, tatizo ni ill disciplined politicians ndiyo wanaotutesa
 
Lakini kumbuka upole siyo ujinga
 
ilikuwepo..walisitisha tu misaada.
taarifa za familia zilithibitisha watu 70 kuuwawa na zaidi ya 150 kuwekwa ulemavu wa risasi wa milele..
serikali ya CCM ikasema ...aagh mbona mmezidisha idadi, sisi tumeua kama 30 tu..
 
Walioifilisi nchi hii kwa Sera na maamuzi mabovu polisi hawakuwahi kuwabaini na kuwakamata

Ila Riyami kwa kuwa anatishia tonge LA ccm polisiccm wameona in hatari kuliko wanaoifisidi Zanzibar kwa Sera na taratibu mbovu
 
Huu nao ni upuuzi usiovumilika kamwe,

Magu nae atajitoa katika hili????

Vyanzo vya fujo vinaanza onekana na wao wanakaalia kimya tu.

Mazafaaaaaaaaaaaaaaaantaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...........!
 
Kama Kwa Museveni Tu!! Hakuna Tofauti Kabisa, Na Hadi Ikifika Hiyo 20 March Tutashuhudia Mambo Kibao Ya Mateso, Manyanyoso, Kuteswa Na Dhuluma!!!!
 
Acha upoyoyo hapa unawezaje kujitoa katika kitu usichoingia?uchaguzi unaotambuliwa ni 25th Oktober Huo wa march 20 Jecha ashiriki na wajukuu zake akina nawajinga wenzake!
 
taarifa za familia zilithibitisha watu 70 kuuwawa na zaidi ya 150 kuwekwa ulemavu wa risasi wa milele..
serikali ya CCM ikasema ...aagh mbona mmezidisha idadi, sisi tumeua kama 30 tu..

Walikiri kabisa?
 
hilo walikiri..
na waliunda tume ili kujua ni idadi ya Wapemba wangapi waliowapunguza..
mi husikitika sana ninapowasikia CCM wanahubiri amani huku wakiwa wameficha mapanga wakimsubiri anaejitokeza tu wamuulimboke,au wamkibanda au wammawazo..
kama si kumngosi.
 
Anaye leta fyokofyoko anakipata cha mtema kuni
 

Taarifa inaonesha alihojiwa mbele ya mwanasheria wake na mwanasheria huyo anamawasiliano ya moja kwa moja na chama cha CUF. Sasa kwanini taarifa hii haisemi alihojiwa kitu gani na anatuhumiwa kosa gani??!! Lengo la taarifa hii ni kutaka huruma ya wananchi? Wekeni makosa yake wazi sio kuficha ficha. Kama ametenda kosa lisilohusiana na siasa hawezi kuachwa kisa ni mwanaharakati wenu. Tii sheria bila shuruti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…