CUF yataka Eddy Riyami aachiliwe haraka

mimi binafsi tangu niliposhuhudia Wapemba wakimiminiwa risasi january 27 2001 utadhani Serikali ya Jamhuri ilikua ikipambana na Nduli Iddi Amini, hadi leo sina imani na vikosi hivi vinavyolinda maslahi ya chama.
Cha kushangaza Rais wa Jamhuri ndie alieingilia kati mgogoro wa Chama cha CUF na CCM huko Zanzibar, na kutoa maamuzi hayo ya kuziondoa roho za Watanzania..
Leo kiti hichohicho kinasema hakihusiki na masuala ya kisiasa Zanzibar..
lakini ikatokea CUF wanafanya jaribio la mapinduzi, ndipo utawatambua hawa wanafiki.
Kweli vikosi vya ulinzi na usalama nchi hii, wameumiza sana raia kwa ajili ya CCM.
 
sasa hivi wana msemo wao wanasema Magufuri katumwa na Mungu....yule aliepita wakati anaapishwa walisema amechaguliwa na Mungu...sasa hiki chama watu wake wanachaguliwa na Mungu ila mambo wanayofanya yanaleta headache sana...mi naona ya Mungu tumwachie Mungu tuache kumuhusisha Mungu kwenye mambo ambayo kwenye kuyaendesha kwake huwa yanachanyika na uchafu uchafu...tuendelee na siasa zetu tu..uganda museven kashinda na kule zimbabwe mzee kasema as long he is alive ataendelea kuwa rais mpk mwisho
 
Upinzani haya matamko CCM haywasumbui mnapaswa kuchukua hatua zingine za kijasiri.
 
Sasa ndo nimekubali maneno ya donald trumph africa inahitaji kutawaliwa kikoloni
 
polis wetu ni idara ya chama dola ccm. kwa nini wahojiwe wanasiasa wa upinzani tu?
 
Duu hivi unasema kweli?
 
Hatuna jeshi la polisi, hatuna ulinzi, hatuna amani, sio zanzibar tu bali Tanzania yote. Kilichopo ni tawala za mabavu chini ya vikosi ya ulinzi wa mabavu hayo. Pengine wapo polisi baadhi hawajui nini wanachokitumikia ama pengine wanajua na hawako tayari kuacha kukitumikia icho kinachodaiwa kuwa serikali ama taifa.
Na niseme tu kuwa hadi hapo tutakapokua tayari sisi Tanzania na nchi nyingine hapa afrika kuchukua hatua stahiki kwa maana ya mapinduzi chanya na kamilifu basi ni vigumu sana kujitoa katika gereza hili tulilopo kwa sasa, si raia tu bali na polisi pia sote ni wafungwa ambao tunatumikia kifungo cha gerezani ndani ya taifa letu...ndani ya bara letu...

"Motherland or death we'll overcome"
 
kosa tuliandamana tena maeneo ambayo hayana hata ofisi za serikali zaidi ya maduka ya wapemba wenyewe..
Ivi unadhani serikali Pemba ipo ?
ni majeshi tu kule.
mahita nae aliwafata Wapemba waliokua sasa wakielekea Mombasa kwa vijahazi na aliwazamisha kwa kutumia upepo wa helikopta.
 
Ilikua kipindi cha utawala wa Rais yupi?
 
Wanamwandama ya nini wakati CUF wamejitoa kwenye uchaguzi ujao?
 
bara alikuwepo Mkapa na ndie alietoa amri kwa masuala ya Zanzibar na visiwani alikuwepo Karume mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…