Jinsi viongozi walivyo utafikiri hawatokufa hukumu yao ipo mbinguniYaani ni zaidi ya aibu, kama wameamua kurudia uchaguzi na kuhakikisha wanashinda chokochoko za nini? mara mabango ya uchochezi mara washike watu na kuwanyima dhamana mara wachome majumba moto, mara waharibu baraza, looo ccm aibu hii mtajificha wapi? Waacheni waliasusa fanyeni yenu, msubiri hukumu yenu kama duniani ama mbinguni.
nakala kwa Kizibao , Mh Pasco .Katika hali isiyo ya kawaida na baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu dhidi ya kile kinachokiita “njama za makusudi dhidi yake”, sasa Chama cha Wananchi (CUF) kinasema hakitaweza tena kuvumilia vitendo vya kihuni na kihalifu wanavyotendewa viongozi na wafuasi wake visiwani Zanzibar, kwani wameshasukumwa hadi kwenye ukuta.
Akizungumza na wakaazi wa Dunga Kiembeni, wilaya ya Kati Unguja, hivi leo (Februari 25), Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Nassor Mazrui, amesema hujuma ambazo zimepangwa na viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea kwenye kile kinachoitwa ‘uchaguzi mkuu wa marudio’, zinakusudia kuiingiza nchi kwenye machafuko.
Akitaja mifano kadhaa ya vitendo hivyo vya hujuma, Mazrui alisema kitendo cha kuharibiwa kwa baraza ya CUF ya Dunga kilichofanywa usiku wa kuamkia leo kitakuwa cha mwisho kwao kukivumilia.
Chanzo: zanzibardaima.net
Ujinga mtupu
Imeniuma Sana kwamba Jamaa wamewavumilia mpaka wamefika ukutani.Nawe pia mkuu
Duuu..... HahahahahCuf ni mashujaa.
Imeniuma Sana kwamba Jamaa wamewavumilia mpaka wamefika ukutani.
Huyo akiwa Dar ni CCM, akienda Kigoma kusalimia anakuwa ACT. Mtu wa ajabu sana huyo.Akina MOTOCHINI wamejifanya vipofu ati kwa sababu ya kutetea chama. Ujinga wa kiwango cha degree
hiyo umesema wewe , maana aliyoilenga Mh Mazrui ni kwamba wamefika mwisho na hawana cha kufanya zaidi ya kupambana .Teh teh hadi wamefika ukutani sio, yaani muheshimiwa anakusudia kusema kuwa wamekamatishwa ukuta?
Hahahahaha hayo maneno ya Mazrui ni ya kujifurahisha tu, hata kwenye kanga yamo hayo maneno lakini yanasumbuwa watu na je watu wanayatilia maanani.. Kitu kimoja CUF ambacho wanakijua fika na hakitobadilika ya kuwa hawawezi kufanya kitu chochote.. sio jana, leo, kesho wala kesho kutwa.. Kwani wakisababisha vurugu tu watadundwa na tunakitangaza hama cha CUF ni cha kigaidi na kufungua mlango wa kukifuta..nakala kwa Kizibao , Mh Pasco .
Teh teh hadi wamefika ukutani sio, yaani muheshimiwa anakusudia kusema kuwa wamekamatishwa ukuta?