CUF yameguka vipande vipande

kwani CUF ni nini tena? Najua kilikua chama cha siasa ila kwa sasa sijui ni nini mnisaidie
 
Poleni sana cuf.Haya ndio matokeo ya siasa za uchochezi na ubaguzi
 
Hamna jipya, same shit by the same syndicate HR.
CUF ni taasisi hata Lipumba na Seif wakiondoka au wakifa CUF itakuwepo..

Watu walisema hayo hayo wakati Nyerere anaondoka kwenye uongozi na alipokufa, lakini maisha yanasonga mbele!

Jana kulikuwa na mkutano mkubwa wa CUF Temeke, kauli mbiu ilikuwa, "waache waende, Bahari haikai na uchafu"

hamtaki kukubali ukweli mnabaki na hizo porojo zenu kuwa bahari haikai na uchafu but mwisho wa siku mtajua kuwa uharibifu wa mazingira waweza kuifanya hiyo bahari ikatoweka baadhi ya maeneo, sasa hata hii cuf yenu inaweza kutoweka baadhi ya maeneo sijui kama mnaliona hili
 
Hii MOve unaweza ukawa mchoro wa hawa mamumiani wa kisiasa
Vunja CUF- ili kusiwe na muungano
Anzisha chama kingine ili kushusha hadhi ya vyama vya upinzani Tanzania
Hamisha mada ya umaskini na taabu,mateso na manyanyaso ya wananchi na kuweka nguvu kwenye siasa za CUF
Punguza stori za vyama vingine vya upizani kwenye kurasa za mbele za magazeti
Ndugu zangu watanganyika wenzangu wapendwa hili timbwili la cUF linahakikiwa na Making maker wa nchi ,watch out
 
images

haya sasa tuonane 2015 kwa ajili ya matanga
 
Back
Top Bottom