CUF yameguka vipande vipande

CUF yameguka vipande vipande

images
Ndio tatizo la kuwa blind-crowd! With CUF yes, with CHADEMA no! What a twisted thinking!
 
Kauli za wafa maji siku zote ni kutapatapa.Ndio maana Jussa alisema wazi cuf ni kwa ajili ya wazanzibar na waislam pekee

Kweli nimeamini huwezi kuwa unaiba kila siku ipo siku utashikwa tu, leo umejikweka wazi na siasa zako ya udini.
 
Kweli nimeamini huwezi kuwa unaiba kila siku ipo siku utashikwa tu, leo umejikweka wazi na siasa zako ya udini.

Mkuu nimekuheshimu siku mbili hizi lakini naona umeanza kurudia asili yako.Nilimsikiliza kwa masikio yangu Jussa mlimani tv akasema cuf ilishindwa uzini kwa sababu ya wakristo wengi na wabara wengi.Sasa mpuuzi hapo ni nani kati yangu na Jussa? Mkuu Ritz usiwe kama Jussa mtu anayetaka kugawa taifa hili kwa misingi ya udini na ukabila
 
Mkuu, naomba usiniheshimu kama kutofautiana misimamo ni tatizo kwako na kuanza kuleta maneno ya kitoto eti uliniheshimu siku mbili. Unachekesha sana.
 
CUF wanapaswa kutatua tatizo hili la wanachama lugha za kejeli na matusi ya nguoni Kwa wananchi wa Tanzania za akina Mtatiro na Jussa zinabomoa chama kabisa

Watanzania wengi walikuwa wanapenda kuona Taasisi kubwa kama CUF yenye nguvu kubwa kati ya wananchi inaendelea kusimama hivi ndani ya CUF hakuna wazee waliobobea katika kusuruhisha migogoro kwa sababu nayo huwa ni elimu.

Mtatiro na Jussa hawafai kabisa kwa wakati huu kuwa wasemaji wa chama hicho ni waropokaji halafu wamechanganyikiwa kabisa,hawana busara wala heshima kwa umma, dili lao la uchonganishi limeanguka sasa wamezamaa kwenye tope hawawezi kutoka
Matatizo hayatatuliwi kwa kuwasha kiberiti na kuchoma mafuta ya petroli moto

Mtatiro kijana mwanasiasa uliyekuwa na nyota ya kunq,ara hembu njoo ujibu hapa CCM wamekupa shilingi ngapi za kuua chama hiki bara
 
CUF wazanahitaji kujivua gamba kwani tunakokwenda watapoteza hata majimbo ya pemba. Hawana jipya zaidi ya MIGOGORO na MALUMBANO.
 
Mkuu, naomba usiniheshimu kama kutofautiana misimamo ni tatizo kwako na kuanza kuleta maneno ya kitoto eti uliniheshimu siku mbili. Unachekesha sana.

Mkuu wangu udini ni dhambi mbaya sana.Tuweke itikadi zetu pembeni tutetee taifa letu kwanza.Kitendo alichofanya Jussa kinafaa kulaaniwa na watanzania wote hata wewe ukiwemo.Mkuu wangu kwangu mimi Taifa ni bora kuliko vyama vyetu hivi.
 
huyu Juha sory Jusa na Mtaro ah samahani mtatiro wanahangaika tu chama KUSHNEE ...KWISHA HABARI....WAMEFULIA .waliambiwa na CDM kuwa wao hawewezi kuungana kuwa kambi moja ya upinzani sababu ndoa ni agano ,,kikowapi......
 
Hamna jipya, same shit by the same syndicate HR.CUF ni taasisi hata Lipumba na Seif wakiondoka au wakifa CUF itakuwepo..Watu walisema hayo hayo wakati Nyerere anaondoka kwenye uongozi na alipokufa, lakini maisha yanasonga mbele!Jana kulikuwa na mkutano mkubwa wa CUF Temeke, kauli mbiu ilikuwa, "waache waende, Bahari haikai na uchafu"
Cuf Ni taasisi kwny makaratasi na ndio mana ikapata usajili kisheria, lakini katika hali halisi hakuna taasisi pale, iko kwa ajili ya wachache kwa personal interest baaasi.Maisha yatasonga mbele hata siku cuf ikifa pia, huwezi kufananisha mazingira aliyotoka Nyerere katika uongozi na huu uozo unaoendelea ndani ya cuf sasa, kwa taarifa yako Kama unavyofahamu 2015 haitokuwepo hiyo cuf unayoizungumza. Huwezi kufukuza viongozi waandamizi wa chama na tizama hili la mtatiro, from no where anaropoka tu ooh! Hata hao waliojitoa mlishapanga kuwatimua kwny kikao kijacho..madudu gani haya?
 
Siyo CUF tu, ninaamini tutaendelea kushuhudia vyama vya upinzani vikisambaratika kimoja baada ya kingine.
 
Mkuu, naomba usiniheshimu kama kutofautiana misimamo ni tatizo kwako na kuanza kuleta maneno ya kitoto eti uliniheshimu siku mbili. Unachekesha sana.
Kwa mujibu wa post ya Molemo, wewe ni mpuuzi.........amefafanua, sasa mbona hujaijibu hiyo post?
yeye kaweka ushahdi wa Jussa kusema wameshindwa Uzini kwasababu ya ukristo...

Kama unashindwa kujibu hoja hiyo basi wewe ni mpuuzi.
 
Mtatiro, huoni kuwa unathiobitisha maneno kuwa chama kinaendeshwa kiimla? Yaani mmeshapabnga kuwafukuza wakati hata kesi yao haijaanza kusikilizwa?

Uimla wa cdm ndo bab kubwa wana chama 30 akina ramadhani mzee waliondolewa cdm kwa waislam wenye msimamo wa kimageuzi ndani ya cdm ndipo ilipo wafukuza huo ni uimla usiopaswa kufumbiwa macho
 
Back
Top Bottom