CUF yajitoa rasmi UKAWA

CUF yajitoa rasmi UKAWA

Lipumba ndio Muasisi wa Ukawa Na Hata Jina hilo amelitohoa Lipumba kwa mujibu wa Maalim Seif Na Mbowe

Siasa ya Chadema Haina Mtabiri

Usishangae Prof Lipumba akawa ndio Mgombea wa Chadema 2020 akawa anaitwa 'Rais wa Mioyo yetu'

Sawa keshajitoea ila ni vizuri ili chama linakufa kifo cha mende miguu juu
 
Sisiemu wanachanga karata huku mikono yao ikiwa na maji, mwisho wanashindwa kusoma kama wamelamba dume au garasa.. mpaka wakija kufunua ndo wanagundua.. Kwenye hili la cuf, sisiemu wamelamba garasa aisee.. Naamini wenyewe wanajuta huko, wangejua wangeiacha kesi iendelee kulega lega..
Bado wako kwenye right track
 
Lipumba ndio Muasisi wa Ukawa Na Hata Jina hilo amelitohoa Lipumba kwa mujibu wa Maalim Seif Na Mbowe

Siasa ya Chadema Haina Mtabiri

Usishangae Prof Lipumba akawa ndio Mgombea wa Chadema 2020 akawa anaitwa 'Rais wa Mioyo yetu'
Story za uzwazwa tuu hizo!
 
Hivi hawa jamaa wana tuchukuliaje wa Tanzania!!??
 
Katibu Mkuu mpya wa Chama Cha Wananchi CUF, Khalifa Suleiman Khalifa, amesema wao kama chama cha Wananchi wameshajitoa kwenye mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi 'UKAWA' kwa madai upo hoi na hauna msaada kwao.

Akizungumza na EATV Khalifa amesema kwamba huo Umoja wa Katiba ya Wananchi kwa upande wao wanaona kama haupo, hivyo wao wameshajitoa huko.

"Ukawa wenyewe upo hoi bin taabani. Haupo mimi sidhani kama upo" amesema.
Du kweli Le profeseli kamchagua katibu mwenye kariba kama zake!!
 
Cuf Lipumba haiko Ukawa siku zote mara baada ya kuwa na Cuf mbili.
 
Kwani hiyo cuf ipo?

In God we trust
CUF Lipumba ni mali ya msajili wa vyama vya Siasa na jaji wa mahakama aliyewasaidia kuipora wasingeweza kuwa huko maana hawana wanachama tena kila mtu kawakimbia tayari
 
Toka Lini Lipumba alikuwa UKAWA ama anatafuta attention

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Katibu Mkuu mpya wa Chama Cha Wananchi CUF, Khalifa Suleiman Khalifa, amesema wao kama chama cha Wananchi wameshajitoa kwenye mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi 'UKAWA' kwa madai upo hoi na hauna msaada kwao.

Akizungumza na EATV Khalifa amesema kwamba huo Umoja wa Katiba ya Wananchi kwa upande wao wanaona kama haupo, hivyo wao wameshajitoa huko.

"Ukawa wenyewe upo hoi bin taabani. Haupo mimi sidhani kama upo" amesema.
Naona kazi aliyotumwa kaianza

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Cuf Lipumba haiko Ukawa siku zote mara baada ya kuwa na Cuf mbili.

Cuf Lipumba ni mali ya msajili wa vyama vya siasa Nchini kwani pindi Lipumba akichukua Ruzuku huwa wanagawana gheto kwa Lipumba kwani hana mke ingawa huchepuka na Sakaya mara moja moja
 
Back
Top Bottom