Katibu Mkuu mpya wa Chama Cha Wananchi CUF, Khalifa Suleiman Khalifa, amesema wao kama chama cha Wananchi wameshajitoa kwenye mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi 'UKAWA' kwa madai upo hoi na hauna msaada kwao.
Akizungumza na EATV Khalifa amesema kwamba huo Umoja wa Katiba ya Wananchi kwa upande wao wanaona kama haupo, hivyo wao wameshajitoa huko.
"Ukawa wenyewe upo hoi bin taabani. Haupo mimi sidhani kama upo" amesema.