CUF yaitangazia vita ADC. Hamad Rashid azidi kukoleza joto, Wapemba kukata mzizi wa fitina

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
DSC01314.jpg
CUF
 
Mkuu hili halihitaji Tochi.
Walipomfukuza Hamda Rashid CUF na kujiunga na ADC ni sawa na Chadema walivyomfukuza ZITTO na kuingia ACT.

Na CUF wameishajua kwamba Hamada Rashid ndio alikuwa kivuli chao,naona sasa wanamkubali.Wana CUF hakuna anaeweza kuwa jiwe namna hiikwa kuacha kuchagua muwakilishi amtake,na ndio maana hata Suala la kugawanyika CUF linajitokeza,maana walikopita koote wamedunda,mikwala ya Umoja wa mataifa na uongo kibaooo wamekwama.Sasa kurudi wanaona aibu,sasa wamekubali kuuwa chama kabisaaa kwa kauli zao wenyeweee.

Ila wakubwa CUF wanajua wanachokifanya,waliuza kwa Lipumba hawawezi kushindwa kuuza na huku Zanzibar
 
vichwa vya kuuza magazeti vinawakumba wengi sana, hivi hamkuona hamkusikia kuwa CUF hawashiriki uchaguzi,sasa mna ichaicha kitu gani ,Hamadi rashidi hajakanyaga kwao zaidi ya miaka mitatu na anakuogopa hata kukutaja,na asipowasikiliza CCM uwekezaji wake wa kuuza masikirepu utafungwa pale DSM kwanza halipii kitu sasa huoni kama amefungwa kamba kwenye pua.Mtasema mengi sana ila mtwaimboo unazidi kuwadidimia.
 
Mkuu hili halihitaji Tochi.
Walipomfukuza Hamda Rashid CUF na kujiunga na ADC ni sawa na Chadema walivyomfukuza ZITTO na kuingia ACT.

Na CUF wameishajua kwamba Hamada Rashid ndio alikuwa kivuli chao,naona sasa wanamkubali.Wana CUF hakuna anaeweza kuwa jiwe namna hiikwa kuacha kuchagua muwakilishi amtake,na ndio maana hata Suala la kugawanyika CUF linajitokeza,maana walikopita koote wamedunda,mikwala ya Umoja wa mataifa na uongo kibaooo wamekwama.Sasa kurudi wanaona aibu,sasa wamekubali kuuwa chama kabisaaa kwa kauli zao wenyeweee.

Ila wakubwa CUF wanajua wanachokifanya,waliuza kwa Lipumba hawawezi kushindwa kuuza na huku Zanzibar
Hujui lolote ww .hamad rashid kwa cuf ni sawa na nongo katika mwili ni kitu kidogo tu .hana atakalo pata ila atatafunwa na dhambi ya usaliti milele
 
Akina museven wameenea EAC.

Nikununua wapinzan nakuwachonganisha

Ikishindikana nikushikiliwa mateka au kuuwawa kabisa.....Maalim Seif awe makini.

In Africa, no real democracy
 
Hii mada haieleweki hata mwenye PHD au Profesa hawezi kuambulia kitu!
 
Mkuu hili halihitaji Tochi.
Walipomfukuza Hamda Rashid CUF na kujiunga na ADC ni sawa na Chadema walivyomfukuza ZITTO na kuingia ACT.

Na CUF wameishajua kwamba Hamada Rashid ndio alikuwa kivuli chao,naona sasa wanamkubali.Wana CUF hakuna anaeweza kuwa jiwe namna hiikwa kuacha kuchagua muwakilishi amtake,na ndio maana hata Suala la kugawanyika CUF linajitokeza,maana walikopita koote wamedunda,mikwala ya Umoja wa mataifa na uongo kibaooo wamekwama.Sasa kurudi wanaona aibu,sasa wamekubali kuuwa chama kabisaaa kwa kauli zao wenyeweee.

Ila wakubwa CUF wanajua wanachokifanya,waliuza kwa Lipumba hawawezi kushindwa kuuza na huku Zanzibar
Lowasa alikatwa kwa njia ya zulma .na mpaka ccm wenzakobwalo waliolalamika na kuhama nae .

Ila hamad rashid alitimuliwa kwa usaliti na u DB
 
Hii cuf inazama pasipo kujua uku bara ndo walishaiachia chadema kwa mwamvulu wa ukawa na huko visiwan wakisusa sijui watakuwa mgen wa nani!!
 
dhambi ya usalini ni kwa wapinzani tuu kuhama chama au hata kwa CCM,maana Lowasa ni msaliti pia ila alikuwa mungu mtu upande wa pili
Hilo nalo ni neno na sio alikua maana kuna baadhi ya wato hadi leo ukimtaja EL ni vita wapo pia wanamuita raisi
 
Mkuu hili halihitaji Tochi.
Walipomfukuza Hamda Rashid CUF na kujiunga na ADC ni sawa na Chadema walivyomfukuza ZITTO na kuingia ACT.

Na CUF wameishajua kwamba Hamada Rashid ndio alikuwa kivuli chao,naona sasa wanamkubali.Wana CUF hakuna anaeweza kuwa jiwe namna hiikwa kuacha kuchagua muwakilishi amtake,na ndio maana hata Suala la kugawanyika CUF linajitokeza,maana walikopita koote wamedunda,mikwala ya Umoja wa mataifa na uongo kibaooo wamekwama.Sasa kurudi wanaona aibu,sasa wamekubali kuuwa chama kabisaaa kwa kauli zao wenyeweee.

Ila wakubwa CUF wanajua wanachokifanya,waliuza kwa Lipumba hawawezi kushindwa kuuza na huku Zanzibar
Uchaguzi uliopita alipata kura 480 sasa kama ndio hizo usitegemee kama anaweza kumshinda Maalim Seif
 
Mkuu hili halihitaji Tochi.
Walipomfukuza Hamda Rashid CUF na kujiunga na ADC ni sawa na Chadema walivyomfukuza ZITTO na kuingia ACT.

Na CUF wameishajua kwamba Hamada Rashid ndio alikuwa kivuli chao,naona sasa wanamkubali.Wana CUF hakuna anaeweza kuwa jiwe namna hiikwa kuacha kuchagua muwakilishi amtake,na ndio maana hata Suala la kugawanyika CUF linajitokeza,maana walikopita koote wamedunda,mikwala ya Umoja wa mataifa na uongo kibaooo wamekwama.Sasa kurudi wanaona aibu,sasa wamekubali kuuwa chama kabisaaa kwa kauli zao wenyeweee.

Ila wakubwa CUF wanajua wanachokifanya,waliuza kwa Lipumba hawawezi kushindwa kuuza na huku Zanzibar
Na wewe ni kati ya wale 46?????
 
Wa
Hii cuf inazama pasipo kujua uku bara ndo walishaiachia chadema kwa mwamvulu wa ukawa na huko visiwan wakisusa sijui watakuwa mgen wa nani!!

Wapo katika kujaribisha na kupima maji kwenye mto kwa kuingiza miguu jamani. Waacheni watvuna wanachopanda.
 
Akina museven wameenea EAC.

Nikununua wapinzan nakuwachonganisha

Ikishindikana nikushikiliwa mateka au kuuwawa kabisa.....Maalim Seif awe makini.

In Africa, no real democracy

What is democracy by the way? Hao preachers wa democracy ndio wauwaji, wanyonyaji na waovu namba moja..!! Ipo wapi Libya na demokrasia? Na mifano ipo mingi tu...! Hao wanademokrasia Nchi zao zimepata uhuru miaka 250 iliyopita. Walishauana sana! Mpk leo tunawaona wamefika hapo walipo.

Hizi mbombongafu tunajifunza shule zimetuharibu mpaka namna ya kufikiri? Hivi Africa tunahitaji utawala bora au mabadiliko ya viongozi wa kisiasa? (swali nauliza)

Tuache kupanic na tujifunze, kwanini wakati Tanzania tunapewa msaada tulilazimishwa kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi? Tena na taasisi tu ya fedha!?

Freedom is a state of mind! There's a difference:

FREEDOM - FREEDUMB
 
What is democracy by the way? Hao preachers wa democracy ndio wauwaji, wanyonyaji na waovu namba moja..!! Ipo wapi Libya na demokrasia? Na mifano ipo mingi tu...! Hao wanademokrasia Nchi zao zimepata uhuru miaka 250 iliyopita. Walishauana sana! Mpk leo tunawaona wamefika hapo walipo.

Hizi mbombongafu tunajifunza shule zimetuharibu mpaka namna ya kufikiri?
Hivi Africa tunahitaji utawala bora au mabadiliko ya viongozi wa kisiasa? (swali nauliza)

Tuache kupanic na tujifunze, kwanini wakati Tanzania tunapewa msaada tulilazimishwa kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi? Tena na taasisi tu ya fedha!?

Freedom is a state of mind! There's a difference:

FREEDOM - FREEDUMB

1. kwahiyo ukiibiwa na wewe unaiba? kufanyiwa kosa hakukupi uhalali kufanya makosa.

kwa akili yako Ghadafi, Saddam Hussen, Assad, Nkrunziza nk walipractice/wanaplactice democracy?

2. Yanayoendelea Zanzibar kwako yanaleta maana? (ccm haiwezi kuachia madaraka katika sahan au kwa njia za makaratasi....nini maana ya kauli hizi?

Hata hivyo nimtazamo wako na nisiiumize kichwa changu kwa maelezo duni uliyotowa.
 
Back
Top Bottom