CUF wawazidi ujanja polisi

Dubo

JF-Expert Member
Aug 16, 2010
322
17
CHAMA Cha Wananchi (CUF) jana kiliwazidi ujanja polisi waliokuwa wakidhibiti maandamano yao baada ya kufanikiwa kuyafanya na kuwasilisha rasimu yao sifuri ya katiba kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria. Polisi hao walikuwa wanazuia maandamano hayo kutekeleza agizo la Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Suleiman Kova aliyolitoa juzi kuzuia maandamano hayo kwa kile alichoeleza kuwa ni batili.

Chanzo: CUF wawazidi ujanja polisi, waandamana


My take: Hawa ndio wanamageuzi wa ukweli sio wengine wao na viongozi wao wamekalia kupiga porojo tu hapa JF.
 
Cuf ngangariiiiiiiiii, amakweli cuf kiboko wakiamua kufanya kweli wanafanya haswa,hakuna kuogopa chochote,hongera sanasana cuf nawale wote walioshiriki ktk maandamano, msg sent kwa kova.
 
Back
Top Bottom