CUF waigawia ofisi yao CHADEMA

CUF waigawia ofisi yao CHADEMA

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,701
Reaction score
59,214
Katika hali isiyo ya kawaida CUF wameamua kutupa sisi CHADEMA ofisi yao ya tawi waliyokuwa wanaitumi.Tayari tumeshafuta maandishi ya CUF na kuandika maandishi ya CHADEMA na kupandisha bendera.

Mungu akijalia kesho Jumamosi tutafuta nembo ya CUF Iliyoandikwa wakeleketwa wa CUF na kuandika WAKELEKETWA WA CHADEMA.Hili tawi la CUF ni lile ambalo lipo KURASINI DAR ES SALAAM karibu na MSIKITI MDOGO hapa relini.

Natumia nafasi hii kuwashukuru wanaCuf na CCM wanaoendelea kuiunga mkono CHADEMA.

Asanteni sana.Mia
chadema3.jpg
 
Kumbe kazi ya chadema ni kuuimaliza cuf na siyo ccm ?

Ndio naanza ku-learn ndio maana wanapewa fedha na kada wa ccm

Safi sana
 
Na wadau wa CUF waliokuwa wakiitumia hiyo ofisi wamekwenda wapi? Au nao wamehamia ''airtel'' chadema!

Kazi nzuri, keep it up!
 
Kumbe kazi ya chadema ni kuuimaliza cuf na siyo ccm ?

Ndio naanza ku-learn ndio maana wanapewa fedha na kada wa ccm

Safi sana

Kuimaliza cuf ni kuimaliza ccm indirectly. Mshirika wenu akishamalizika sasa tutabaki kuwabomoa nyie ccm directly!
 
Kumbe kazi ya chadema ni kuuimaliza cuf na siyo ccm ?

Ndio naanza ku-learn ndio maana wanapewa fedha na kada wa ccm

Safi sana
Nyie jimalizeni kwanza wenyewe halafu sisi tutakuja kumalizia tu...
 
Kuimaliza cuf ni kuimaliza ccm indirectly. Mshirika wenu akishamalizika sasa tutabaki kuwabomoa nyie ccm directly!

Thubutu tunawafadhili mtatuweza wapi?

CCM we set agendas to be followed by chadema other folks..
 
CDM NI JESHI LA UKOMBOZI, ila kwa wale wanaofikiri kwa kutumia tumbo na wavivu wa kufikiri kama ccm wanaifikiri tofauti sana.
 
Kumbe kazi ya chadema ni kuuimaliza cuf na siyo ccm ?

Ndio naanza ku-learn ndio maana wanapewa fedha na kada wa ccm

Safi sana
kwa sababu cuf na ccm ni mke na mme, cdm itaangamiza vyote kwa pamoja. hiyo siyo siri, kwani ww hujui kama cuf ndiyo ccm?
 
Back
Top Bottom