CUF tunakubalika bara na Zanzibar

CUF tunakubalika bara na Zanzibar

mahwelu

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
322
Reaction score
253
Najua wanajamii mnaaminishwa kwamba CUF ni wabinafsi jambo ambalo sio sahihi. Katika UKAWA cuf ndicho chama pekee chenye kukubalika pande zote za muungano. Kimantiki ni cuf pekee wenye uwezo wa kupata Mgombea na makamu wake katika muungano.
Chadema wapo bara hawatapata mgombea mwenza zanzibar. wanalazimisha cuf wamtoe mwanachama hai mmoja aingie chadema.. why tufanye hivi wakati cut tarari anafiti vigezo?

Mnasema mmetuachia zanzibar ... hii sio kweli, Zanzibar ukiondoa magamba tunaobaki ni cuf.... so kutubania bara ni sawa na kuturudisha nyuma tubaki kisiwani tu...

HAKIIII SAWAAAA
 
2010 Lipumba alimsaidia Kikwete ashinde,vipi awamu hii??!! wakati mnamsaidia Kikwete na CCM yake mlikuwa hamkubaliki bara??!!
 
Swali ambalo CUF wanatakiwa watujibu watanzania ni kwanini walikuwa wepesi kukubali kuungana na CCM kuunda serekali ya mseto Zanzibar na kuwa wepesi wa kutaka kujitoa kwenye umoja wa UKAWA ambapo ingekuwa rahisi kuiondoa CCM madarakani?.
 
Haki sawa kwa wote na ni Haki wanaume kwa wanaume kuoana Teh Teh Teh Teh Teh
 
Najua wanajamii mnaaminishwa kwamba CUF ni wabinafsi jambo ambalo sio sahihi. Katika UKAWA cuf ndicho chama pekee chenye kukubalika pande zote za muungano. Kimantiki ni cuf pekee wenye uwezo wa kupata Mgombea na makamu wake katika muungano.
Chadema wapo bara hawatapata mgombea mwenza zanzibar. wanalazimisha cuf wamtoe mwanachama hai mmoja aingie chadema.. why tufanye hivi wakati cut tarari anafiti vigezo?

Mnasema mmetuachia zanzibar ... hii sio kweli, Zanzibar ukiondoa magamba tunaobaki ni cuf.... so kutubania bara ni sawa na kuturudisha nyuma tubaki kisiwani tu...

HAKIIII SAWAAAA

kama mnakubalika bara mbona mna wabunge ambao hawazidi watano bara?
 
Hii pia ni moja ya kredit ambazo nazidi kuwamiminia ccm, upinzani umeshuwa divided na ccm inaendelea ku-rule dadeek
 
cuf kama mna kubalika bara msingekuwa na wabunge wa2 acha masihara wewe cdm wana vijana machachari hawawez kufanana na vilaza kama shaweji mketo na abdul kambaya
 
Najua wanajamii mnaaminishwa kwamba CUF ni wabinafsi jambo ambalo sio sahihi. Katika UKAWA cuf ndicho chama pekee chenye kukubalika pande zote za muungano. Kimantiki ni cuf pekee wenye uwezo wa kupata Mgombea na makamu wake katika muungano.
Chadema wapo bara hawatapata mgombea mwenza zanzibar. wanalazimisha cuf wamtoe mwanachama hai mmoja aingie chadema.. why tufanye hivi wakati cut tarari anafiti vigezo?

Mnasema mmetuachia zanzibar ... hii sio kweli, Zanzibar ukiondoa magamba tunaobaki ni cuf.... so kutubania bara ni sawa na kuturudisha nyuma tubaki kisiwani tu...

HAKIIII SAWAAAA

Lengo la UKAWA ni kuiondoa CCM madarakani,kama CUF mnajiona kuwa mnakubalika kuliko vyama vingine vya upinzani na kama lengo lenu ni kuiondoa CCM madarakani na kama mnaweza mkamdu kuiondoa CCM madarakani bila ya kushirikisha vyama vingine ni bora muwahi kujiondoa UKAWA mkapigane kivyenuvyenu kuliko hivi sasa ambavyo mnawachelewesha wenzenu wakati walitakiwa wawe kwenye mapambano.
 
kwa kauli hiyo na mawazo hayo UKAWA hawataweza kumpata mgombea urais
 
Wana wabunge wawili tu wa kuchaguliwa,na wote ni kwenye mkoa mmoja tu wa Lindi.
 
Swali ambalo CUF wanatakiwa watujibu watanzania ni kwanini walikuwa wepesi kukubali kuungana na CCM kuunda serekali ya mseto Zanzibar na kuwa wepesi wa kutaka kujitoa kwenye umoja wa UKAWA ambapo ingekuwa rahisi kuiondoa CCM madarakani?.

Wakati wa upinzani kuungana ni bado sana, ni bora kuwa na wabunge wachache lakini kudumisha chama inachoamini kuliko kukimbilia kuungana kwa tamaa ya kupata uongozi. Vyama pinzani vitaungana kwa hoja husika tu, kwa mfano katiba mpya na kadhalika lakini sio kuweka mgombea mmoja wa urais au wabunge.

CHADEMA kwanza itatue tatizo la AU Lowasa au Slaa. Mjue kuwa mkimpokea Lowasa lazimu mmuahidi kuwa mgombea pekee wa urais mwaka huu. Hilo katika ukawa halipo, hivyo ni bora kuvunja mambo ya ukawa katika wagombea na kuacha ukawa kule bungeni.
 
Back
Top Bottom