CUF - Sikio la kufa

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
9,227
6,666
Wanajamvi, wanasiasa, wananchi, nk wamejenga hoja nyingi tu kuhusu umhimu wa kurudiwa uchaguzi wa Zanzibar, lakini CUF, kwa kushinikizwa na Maalim Seif, bado wanahamasisha Wazanzibari kutokushiriki upigaji kura. Leo viongozi wa vyama vingine vya siasa nao wametangaza kutokushiriki. Ni kutisha, dhamira, au utashi wa viongozi hao wa siasa!!!

SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA
 
Wenzio wakisusa wewe kula kwaniTatizo liko wapi hapo wewe nyangumi? Si ndo mtapita bila kupigwa kelele za nini sasa
 
Back
Top Bottom