CUF si chama cha promotion kama vile bidhaa mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF si chama cha promotion kama vile bidhaa mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Utingo, Aug 25, 2010.

 1. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Mkuu umesahau
  - Pia ni chama pekee ambacho mgombea urais na ambaye ni mwenyekiti wake ni mwanasiasa pekee nchini ambaye hata kijijini kwake (ilulanguru-tabora) hakubaliki.
  -Ni chama ambacho mgombea urais wake na mwenyekiti wake amegombea mara nyingi kiti kimoja tu cha uraisi kuliko binadamu yeyote duniani na mara zote ameshindwa.
  -Ni chama ambacho mgombea urais wake amegeuza kugombea urais ndiyo profession yake.
  -Ni chama kinachokubalika pemba tu, ambako wakazi wake hawafiki hata laki tano, na kinajifanya ni maarufu.
  -Ni chama ambacho japo kina umaarufu sana tz kwa mujibu wa mashabiki wake, hakina kiti hata kimoja cha ubunge wa kuchaguliwa tanzania bara, unguja (???)
  -Ni chama pekee chenye mwonekana wa kidini Tanzania
   
 2. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  mmetangulia na baiskeli ya miti...! tutakutana kitonga.
   
 3. H

  Hamuyu Senior Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  <p>
   
 4. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #4
  Aug 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Silent whisper siku ukibadilisha avatar yako nitafurahi sana na bila shaka nitavutiwa hata kusoma posts zako...
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  true
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Nadhani Dubo alisahau sifa hizo.
  Pia ni chama ambacho hutumia kauli mbiu za vitisho 'Jino kwa jino'
   
 7. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  rubbish!
   
Loading...