Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
Hicho ni chambo kwa CDM. Ukinasa unasalimika na ukikwepa mtego umeliwa!
CDM inachotaka ni ukombozi wa wananchi na si ukombozi wa vyama, kama CUF watakuwa wameona makosa yao na kuyajutia wanaweza kukaribishwa wakienda kinyume wanafukuzwa kama alivyofukuzwa Cheyo.
You are totally confused upstairs!!! Unless you elucidate.
Umenifurahisha sana hilo la RA kuifadhili CUF, ofcourse ni unfounded allegation! Lakini la CDM kufadhiliwa na Kada wa CCM Sabodo mbona unalifumbia macho? Acha unafiki!<font size="3">CDM wasithubutu kabisa kabisa kufanya kosa kama hilo...please CDM! Hivi hamfahamu kama CUF inafadhiliwa na RA -- ambaye ni hasimu mkubwa CDM?
Puuzeni ninalowaambia mtakuja juta. Hili suala la Dowans ndilo RA anataka kuanza nalo Bungeni kwa kuitumia CUF. Watch out!!!!</font>