CUF sasa dhahiri mambo ni magumu

Nadhani huu ni wakati muhimu kwa media kufanya kazi kwa weledi zaidi!
 
Kama nimemshapatia "Bwana Yule " pesa imekula kwenu
 
Aisee kwa akili ya kawaida na hao wanaoshabikia leo ni sahihi mtu kujiuzuru alafu akalazimisha kwa nguvu kurudi kwenye post ile ile bila hata uchunguzi na wala hawawez kujiuliza hilo.... Jamani hapa kweli inahitaji degree kujua huyu mtu hafai.... Daaaah kweli penye uzia penyeza Rupia.. M
 
Maalim alicheza kwao na Lipumba kaita wa kwao.
 
Uliwekwa uzi hapa kuhusu hili mkadai ni uzishi, haya sasa!! Watano kati ya tisa wamekataa kikao hicho cha zanzibar na hawamtaki Seif.
Sasa wew huoni hapo Nani mshindi? Kama watano wamekataa na Tisa wabakubali kuna haja ya kushindana na vibaraka watano hao.
 
Ni wahuni tu!!
Wee kwenye kichwa cha lipumbavu unaona kuna cha maana mule
 
Namuonea huruma bwana mdogo Mtatiro ambaye sasa anatumika Kama chombo ile ambayo ukiitumia unaitupa. Hajawa ayed
 
KAMAHURU ya akina Maalim na CCW ya akina Mapalala. Maji hata uyachemshe hadi 1000 c yatarudi tu kuwa baridi mwishowe. CUF sasa inarudi ilikotoka. Mdhamini anasema Maalim ni Sultan!!
 
Kweli mkuu asante sana kwa kunote hilo.
Tatizo kubwa wana JF wengi wanakosa kuwa analytical katika matukio kama haya.
Na huu si ushabiki bali extrapolation ya events na matokeo yake katika jamii.
Toka juz baada ya kuona uzi wa kumkataa lowasa wa 2014 hadi waking salary wakahamua kubadli id jf nimeikubaliii,,, lipumba beba cuf daima,, huku jf wajinga tumewashika
 
Hiyo mjumbe njaa tayari kapewa Mgao ile pesa ya viwanda
 
Ndipo utajua kuwa Siasa ya Tanzania haipo kokote Duniani, hata hii style ya CCM kutumia pesa za umma kuwakoroga upinzani haipo kokote.
 
Pesa ya serikali kuhamia Dodoma imekuwa shida, pesa za misaada kwa waathirika bukoba walichangisha watu lakini pesa za kumpatia lipumba avuruge ukawa ipo ya kutosha
 
Laana ya kumkaribisha lowassa kugombania urais, na kumpuuza professa haitamuacha maalim kamwe.sasa kibao kimegeuka.
 
Hao wajumbe hawana majina. Mbona hawajatajwa? Tunachojua sisi ni kwamba wajumbe wote 9 wa bodi ya wadhamini wakiongozwa na mwenyekiti, Mh. Khatau toka wilayani Masasi, walikuwepo kwenye kikao kilichofanyika Zanzibar hiyo juzi.
kwanini ZANZIBAR TU??????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…