Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,416
Ndugai ni mtovu mkubwa wa nidhamu,na ana upeo mdogo sana,kiufupi ni kilaza,alitia aibu sana kwenye kipima joto ITV alikua na Lisu,ndugai alipwaya sana.
ha haaaa, mkuu hatuko huko yalishapita hayo, mada ni nyingine kabisa, kama vipi endelea na viroba.