CUF: Ndugai awaombe radhi wapinzani

CUF: Ndugai awaombe radhi wapinzani

Naibu sipika anakosa busara, kamati ishakaa na serikali na kuchakachua maoni ya wananchi, hivyo hakukuwa na sababu ya kumzuia KUB kutoa maoni yake manake hata ingekuwaje kura za ccm ni nyingi. Hivyo Ndugai alitaka kuudhalilisha upinzani kwa kutumia madaraka yake.
 
bado muda mfupi tu ndugai na wenzake watakuwa kambi ya upinzani.hata dola za zamani za afrika magharibi zilikua hatimaye zikaanguka nakupotea kabisa!
 
****** ni mbinafsi, ni wale wanao taka vyeo/uspika kwa KUKANYAGA wengine... hajali maumivu unayo yapata wakati ANAKUKANYAGA............ Yanamwisho na uzuri mambo ya bunge yako recorded. Historia itawahukumu. Kind of people ambao hata kizazi chake kinaweza kataa tumia jina lake sababu ya aibu watakayo kuwa wanapata kipindi hicho....wapo kina Hitler, Mobutu, ........jamaa zao na vizazi vyao wamebadili majina.....shame on him.

Hili jina la Naibu Spika niliwahi kulindika kimakosa kama wewe nikala burn siku tano sijui mwenzagu kama utasalimika majina mengine utata...
 
Siyo tu awaombe wapinzani na KUB bungeni bali atuombe watanzania wote maana ametukosea haki ya msingi ya kusikiliza HOJA za upande wa upinzani.Hata kama aliziona hazina maana bado baadhi ya watanzania kama si watanzania wengi tulitaka kuzijua.
 
Nimesikitishwa sana na naibu wa spika. Kwanza kabisa ni kujionyesha kuwa yeye ni mtetezi mkuu wa chama chake bila kujali nidhamu ya bunge.
Kwanza kabisa heshima yake kwake mwenyewe halafu heshima yake kwa wenzake amekosa kabisa.
Kitendo chake hiki kimedhalilisha bunge la tanzania kiasi ya kwamba sisi wananchi tumepigwa na bumbuwazi. Kwani kosa gani walilofanya wapinzanai kuchukuliwa hatua hiyo na bw. Ndugai?. Mimi sielewi sabau nimeona mabunge makubwa yaliokomaa kidemokrasia na husikii vituko kama hivi vya kudhalalishana.
 
Wakati anadhani kwa kufanyya hivyo anasaidia serikali ya chama chake kumbe ndo anaibomoa kwa gia kubwa,ni aibu kubwa kwa chama chake kwasababu inaonyesha kimejaa mambulula na yeye ndo mwenye unafuu ndo maana kapewa unaibu spika.Hivi ccm kwa nini itufikishe hapa? Lakini na bado matendo haya ya kipuuzi yanakula parefu sana hayaishii kwa mtu binafsi.
 
hivi chdm na cuf wameanza lini kuwa kambbi moja!? nilivyo kuwa naelewa ni kwamba chdm walidai kuwa wanajitosheleza hawawezi kushirikiana na cuf au nccr na tlp. ndoa imeanza lini?
 
Du! Wazazi wa Ndugai ndiyo wanaojua akili za Ndugai. Lakini kama sijakosea alishawahi kuugua ugonjwa wa akili. Bado hajapona ila kapata nafuu kidogo. Uwezo wake wa kufikiri huishia pale aliposimama au alipokaa au alipolala au alipochuchumaa. Sidhani kama atamwelewa Bw. Mtatiro anachosema.
 
Ndugai ni mtovu mkubwa wa nidhamu,na ana upeo mdogo sana,kiufupi ni kilaza,alitia aibu sana kwenye kipima joto ITV alikua na Lisu,ndugai alipwaya sana.

the arrogant he is he will never bow to the demands of your advice
 
Back
Top Bottom