getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,821
CUF wanashiriki uchaguzi wa mbunge Zanzibar. Je, mwenyekiti wa Tume ndugu Jecha amebadilishwa nafasi yake? Amestaafu.!? Tume ya uchaguzi imebadirishwa? Au ni ileile? Kama kila kitu ni kilekile na mwanzo hawakuiamini tume leo wanaiamini??
Kama walisusia uchaguzi ule ukawa na manufaa na faida kwao kwanini wasisusie na huu.!! Wanatufanya watanzania mabwege. Kila la kheri wanazanzibar
Kama walisusia uchaguzi ule ukawa na manufaa na faida kwao kwanini wasisusie na huu.!! Wanatufanya watanzania mabwege. Kila la kheri wanazanzibar