KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,153
Kuna baadhi ya watu wasipokipiga kijembe Chadema siku yao haijakamilika.
Wewe unasumbuliwa na ugonjwa wa insanity.sasa wakiitisha press conference si ili kukwapa vihiyo kama wewe taarifa?acha umbumbumbu utapitwa na wakati kijana
Imekua ni aghalabu panapotokea mikusanyiko ya vyama vya siasa hususan chama kimoja cha siasa hapa nchini ambacho nisingependa kukitaja kwa kuepuka fitna muda mwingi kutumika kufanya siasa za maji taka.... .siasa za kusema na kukichafua ccm pamoja viongozi wake instead of politics of issues,the folks are more than happy to talk about everything they think is wrong with ccm na serikali yake but they didn't have much to say about how they will make it right...wanasema watatoa elimu bure ukiwauliza vyanzo vyao vya mapato vitakavyowawezesha kutekeleza hilo wanaitisha press com. Sio kujibu hoja bali kukutukana na kudai hufai hata kuwa kiongozi wa kata n.k wametawaliwa na uoga usio na msingi... Naomba nichukue nafasi hii ya thamani sana kukipongeza chama cha siasa cha cuf hasa bwana lipumba kutokana na kuzungumza mambo ambayo watanzania wanapea kuyasikia.
lecture ya lipumba leo jangwani:anasema tanzania inakusanya bilioni 400 na nusu kila muda mfupi toka mauzo ya mali asili..ambapo kila mtanzania anaweza kugaiwa dola 100 kwa ajili ya shuguli zake binafsi...na anatoa mifano kwamba hili limewezekana nchi za alaska..mongolia na bolivia.
Nawasilisha.
Tatizo hao viongozi wa iko chama hawatambii vyanzo vya mapato ya kufanya wanayotaka tuamini watafanya tukiwachagua,unadhani wanaogopa nini kutaja kwamba itabidi watukamue zaid kodi sisi watu wa middle class na wafanyabiashara ndogoKama anaweza kugawa dola 100 kwa kila mwananchi kwa nini unakataa kuwa elimu yaweza kutolewa bure na hicho chama cha siasa unachoogopa kukitaja? kuwa mkweli kardash. mbona kipndi cha mwinyi hakushauri hayo na alikuwa mshauri mkuu wa mambo ya kiuchumi? Mimi mwenyewe namkubali sana Profesa kwa nadharia zake.
taarifa kwamba kiongozi fulani hafai kuongoza hata kata!!!zina maslahi gani kwa taifa hasa?watumie muda huo kuelezea mipango na vyanzo vyao vya mapato vitavyowezesha utekelezaji wa hiyo mipango,haitoshi tu kuropoka elimu na matibabu bure bila kutaja vyanzo vyako vya mapato vitavyokuwezesha kusubsidized hizo huduma kwa maana ya kwamba mwisho wa siku ni lazima kuwe na mtu wa kuzilipia hizo huduma ambae kwa hapo mtu huyo atakua ni serikali yako,je utapata wapi fedha hizo?jibu ni kwamba utakuja kwangu(middle class families & small businesses) na kututax more kwenye mishahara yetu na vijimiradi vyetu(viosk) ndio mana tukikuuliza vyanzo husemi unatoa povu kwa kuwa unajua kusema utaongeza kodi kwa mtanzania kutakuondolea hiyo cheap popularity uliyonayo...thats y u want my vote but u don't want me to know your plan cuz u know your plan won't sell,nio mana nasema wafuasi wengi wa iko chama ni illiterate au misukule wanapelekwa pelekwa tu bila kuhoji mambo ya msingi kwa viongozi wao.
siamini kama huelewi ila nahisi umeamua kubisha tu? hivi mapato ya sasa tu yakitumiwa vizuri tungekuwa wapi? nipo hapa BOT mwanza na naelewa ninachokueleza.Tatizo hao viongozi wa iko chama hawatambii vyanzo vya mapato ya kufanya wanayotaka tuamini watafanya tukiwachagua,unadhani wanaogopa nini kutaja kwamba itabidi watukamue zaid kodi sisi watu wa middle class na wafanyabiashara ndogo
na pia wengine bila kufaya hivo kwa ccm au nape siku inakua mbaya kwao,ndio matokeo ya siasa za vyama vingi,twende nayo hivyo hiyo tutazoeana tu
Umeongea mambo ya maana sana kuwashinda hata viongozi wako wa iko chama ambao wamekosa ujasiri wa kueleza vyanzo vya mapato kwa kuogopa kuwaudhi walipa kodi ambao ni wapiga kura wakisema watawatoza koi kubwa ili ziwawezeshe kutoa elimu bure.Kwa nini uite wenzio misukule. hivi nchi kama hii unahitaji kuonyeshwa chanzo cha mapato? unazokusanya unafuja zaidi ya asilimia 50(CAG report), bado unazosamehe, bado unazokataa kuziundia sheria kwa kuwa utawaudhi mafisadi. Tafakari na uchukue hatua. hapa Mwanza mwenye nyumba yangu halipi kodi japo ananitoza 450,000 kwa mwezi. wapo wangapi?
Ngoja nigombee udiwani tuone kama mtapandisha kodi hovyo.