Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Maalim Seif Sharif Hamad
Dodoma. Chama cha Wananchi CUF, upande unaomuunga mkono Katibu Mkuu wa chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad kimesema kitakwenda kufanya usafi katika ofisi ya chama hicho iliyopo Buguruni na kuondoa chochote kile ambacho hakipo mahala pake.
Wakizunguma katika mkutano na waandishi wa habari, leo mjini Dodoma, wanachama hao walisema wanaliunga mkono Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF) kwa kulaani uvamizi uliofanywa katika mkutano wa wafuasi wa CUF-Maalim na kuathiri waandishi wa habari.
Chanzo: Mwananchi