Cuf kung'ng'ania kamabi ya upinzani ni ajenda ya ccm

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,631
1,926
Wadau habari za leo .Kama tujuavyo tayari CUF ni CCM na sasa wanatekeleza sera za CCM. Wameachana na sera zao huko Nzanzibar na hatimaye bara maana CUF ni moja Tanganyika na Zanzibar.

CCM kwa kuona na kujua ushupavu wa CHADEMA wanaitumia CUF kwa kisingizio cha upinzani kujipenyeza kwenye ngome ya Chadema bungeni ili kuidhoofisha kwa kutoboa siri na mikakati yao kabla haijatekelezwa . Nashangaa jinsi wote CUF na CCM walivyokuwa mazuzu wakidhani vimbinu vya kijinga kama hivi wananchi hatuvioni.

Chedema please never allow this to happen .You have all the rights to be the real opposition party and no one else. We gave you this power through peoples power and you should exercise it with full confidence . I know you know this but I am just insisting .
 
Back
Top Bottom