CUF kulikoni mkoani Tabora?

CUF kulikoni mkoani Tabora?

Vyama vya upinzani umoja wenu ndo kunaweza kuwa poneo kwenu kuinusa ikulu ubinafsi na woga wa kuwa tukiungani mimi ntakuwa nani au ntabaki kama nani bado safari ni ndefu
Napendekeza tuviite VYAMA MBADALA VYA SIASA. Hili la upinzani linaonesha chuki, uadui na visasi zaidi badala ya upendo, amani na mshikamano.
 
Wanamsaidia kaka mkubwa, au wametumia gia hii ili kuwapata watu wengi kwenye mkutano wao, si unajua kwasasa cuf ni mwendo wa kinyonga.
Kweli hawana mvuto kabisa hawa. Inabidi wabadirishe safu ya uongozi wa juu.
 
Back
Top Bottom