Kwani lazima utume kitu hapa JF. Kukaa kimya wakati fulani ni bora, UPUPU. kweli Mbuzi kalia, Ng'ombe kazimia.....
Si lazima usome kila kitu JF! kuna post kibao ukiona inakukera wewe chapa mwendo!

Kwani lazima uchangie kila thread?Kwani lazima utume kitu hapa JF. Kukaa kimya wakati fulani ni bora, UPUPU. kweli Mbuzi kalia, Ng'ombe kazimia.....
Kwani lazima utume kitu hapa JF. Kukaa kimya wakati fulani ni bora, UPUPU. kweli Mbuzi kalia, Ng'ombe kazimia.....
Pombe za mchana bila chakula, zina mambo!
Rev Masanilo mimi nakuheshimu sana,lakini kwa hili naomba tutofautiane,CUF ni wasaliti wa upinzani na si mfano mzuri wa kuigwa katika safari yetu ya kwenda kwenye democrasia ya kweli!lakini haiwezi kufikia hatua hiyo unayoisema!labda uniambie ni watani wako,hata hivyo nijuavyo mimi CHADEMA si mtani wa CUF!
Hakujui huyo.
Msamehe bure

Tulikuwa wakwanza mimi na Mwafrika kuleta habari za CUF kufanya mazungumzo ya siri na CCM. Sasa hivi kila mtu anajua kinachoendelea. Leo nawaambia tena CUF wanabadili bendera yao na itakuwa na Jembe na nyundo kama chama dume chao CCM. Msije shangaa Rev Masa nimeficha hii habari
Idumu CCM "A" na CCM "B"
Kama haitoshi
CHADEMA tutaisambaratisha pole pole Mzee, bwa bwa bwa bwa bwah!