"CUF" je hili la udini,bado mnabisha?

"CUF" je hili la udini,bado mnabisha?

Status
Not open for further replies.
Ndio cdm wanagombea kwasababu wakristo ni wengi ok...tumeelewa

Kule Uzini kuna waislamu kibao tu, na CDM haikujitoa.

Umeomba kazi ukapata kazi,usione kazi kufanya kazi.Ukiona kazi kufanya kazi ,acha kazi uone kazi!
 
kura 281 @ kura cost cdm 200,000/- cash

CUF hawana mafisadi wa kanisa kusaidia hiyo hali

Mbona Tropical hueleweki wewe,siasa ni gharama ndugu yangu na ndio maana mnapewa Ruzuku ili kuendesha shughuli kama hizi.mnapaswa kuwajali wanachama wenu popote pale walipo na ni imani yangu kuwa hata Arumeru mashariki wapo na mnawaacha njiapanda kwa kuwanyima haki yao ya kumchagua mwakilishi wao.
 
Hata mimi nashangaa kwanini hawajashiri..lakini si kwasababu ya udini kama unavyotaka tuamini hapa..ndio maana ntakupinga hadi kieleweke..
 
Hata mimi nashangaa kwanini hawajashiri..lakini si kwasababu ya udini kama unavyotaka tuamini hapa..ndio maana ntakupinga hadi kieleweke..

Ninashukuru kwa upinzani wako,lakini ni vema ukatuambia wewe kama wewe unadhani hiyo si sababu je unadhani ni nini zaidi ya hilo?
 
Political impact and financial implication; nafikiri CUF ni wachumi sana

Mbona hatuzioni sera zao nzuri zikitumika kuwakomboa wananchi wa pemba kiuchumi,tulitarajia kuuona mfano huu kule maana karibu majimbo yoote ni ya uwakilishi wa CUF,ambayo mwenyekiti wake ni proffesor wa uchumi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom