in and out
Member
- Jun 30, 2011
- 69
- 6
cuf imejidhihirisha kweli ni chama makini na hii inatokana na kuwa na viongozi makini Prof Lipumba na Maalim seif toka mfumo wa vyama vingi uanze cuf kimekuwa kikishirikiana na vyama vyote lakini chama cdm kilipopata nguvu kidogo na kutimiza idadi ya kuunda kambi ya upinzani bungeni kimeleta ubaguzi mkubwa, na hii yote inatokana na asili ya muasisi wa chama hicho tunajua anatoka sehemu gani na wafuasi wake, pamoja na kusaidiwa na taasisi moja ya kidini bado chama kinaendelea kujichafua mbele ya macho ya jamii kwa jinsi hii cuf wasifikirie wala kudhani kushirikiana na chama hicho.