CUF inapoisakama CHADEMA


nivema nawewe ukaweka za lipumba kufanya kampeni msikiti. Itakuwa poa sana.
 
mtoa mada amechoka sijui ana tumia mat.ako kutoa mawazo. Kwanza chama pekee kina chotumia mabaraza na mikutano mikuu kufanya maamuzi ni cuf, nandio chama chenye demokrasia sijawahi sikia lipumba kafanya maamuzi yake binafsi kumvua mtu wanachama anae bisha pumbavu na alete ushahidi cuf hutumia democracy mfano mzuri prof safari v/s prof lipumba kura uwanjani safari akaambulia kura chache alicholalamika ni kudhihakiwa na wanachama. Ktk mkutano mkuu wa taifa wa cuf wenye wajumbe toka wilaya zote tz bara na visiwani. Ushahidi upo mwenye shida akatafute maktaba. Tuangalie chama kina chojiita cha demokrasia. Mwenye kiti nae mfahamu wa kwanza bob makani sijajua mtei alikuwa nani so katibu. Bob makani alistaafu akapewa mbowe hadi hivi leo yupo huyu ni dikteta mbowe au mungu mbowe. Kiti chake hakiguswi tujikumbushe kidogo pale zitto alipotaka kiti chambowe makamasi yalimtoka puani. Hata form yake ilizuiwa kuingizwa na kufanyiwa mchujo. Alizuiwa na madikteta mtei walimwambia bado kama kisingizio huku dikteta mtei ambae na naambiwa ni mkwilima au baba mkwe wa mbowe (undugunaization) akiongea wazi bila ya uficho "hatuwezi kuuza chama kwa kumpa mtu tu mwingine asiye fahamika zitto nani aende kule" (ukabila, udikteta, undugu, maslahi binafsi) hawa ndo Cdm bana chama kinachosifiwa na demokrasia. Pia tujikumbuse maamuzi ya mungu mbowe na slaa walipojifungia ofisini na kuwa engua alieshinda wenyekiti wa bavicha kafulila na mwenziwe na kuwavuwa uanachama. Vivyo hivyo bawacha mbowe na slaa waliusimamisha uchaguzi wawanawake. Hapa tunaona udhaifu mkubwa wa cdm si udhaifu ni udikteta wa viongozi ndo wenye maamuzi na si baraza lenye maamuzi kama alivyosema mtoa mada. Baraza la cdm ni boya, baraza la cuf functionable well kachunguzeni mfanye tafiti muone haya nahakika mwenye chuki na apasuke
 
kwavile umewaambia ukweli mtupu tena usio nashaka nakwambia hawatokujibu kwa hoja badala yake wataanza kukuporomoshea mitusi ila usijali tumeshawazoea ndio staili yao yakisiasa,siasa zao za maji taka tupu.
 
chadema ni hawara na nyumba ndogo ya magamba.........inaona wivu na kuingilia ndoa ya mwenzake.
 
Hata jk anjua cha makini ni Cdm kwa kuzikubali sera zake na kukiri source Mwanahalisi,
CDM wanasoma nyakati na kuzitumia na Mashabiki na wanachama wa CDM Wanajipambanua
na wana mtaji wa umma tofauti na vyama vingine vyote. Kimsingi umeandi ukweli pasi na shaka
 
Waraka wa maaskofu hujasoma, tafuta uko humu ndani..lol


Sasa waraka wa maaskofu ndio video ya Slaa akifanya kampeni kanisani? CUF vipi bana?
 
Waraka wa maaskofu hujasoma, tafuta uko humu ndani..lol

toa wewe kwanza ushahidi kamili kua lipumba alifanya kampeni misikitini namimi ukitoa ushahd kua libumba alifanya kampeni msikitini nami naimwaga cd ya slaa akiomba kura makanisani.

Bwe.ge wewe! Mi nilidhani naongea na mtu wa maana mwenye ushahidi kumbe ulikuwa unatishia nyau? Ulisema una video za Slaa kanisani akifanya kampeni, ziko wapi? Mimi nilisema kuwa nina video za Lipumba msikitini?
 
Mimi si Mkatoliki lakini nasikitishwa na rongorongo yako hii, kanisa Katoliki ninavyolifahamu halinunuliki kirahisi namna hiyo. Ati? wamfanyie mtu kampeni hadi alale makanisani? kwa taarifa yako kanisani kwa imani Katoliki ni mahali patakatifu pa utakatifu na haiwezekani kamwe kwa Padre, askofu na hata Papa kupanajisi kwa kuwatandikia virago wagombea urais eti walale kanisani!
Bila shaka hulielewi kanisa Katoliki sawasawa na labda unalifananisha na nyumba nyingine za kuabudia yakiwemo unayoyaita makanisa lakini si ya dhehebu la kikatoliki. Kama ni kweli unazo hizo CDs zimwage humu tujionee.
 
ni ubishi usio na sababu kwani ujweli upo wazi kabisa huku kwe2 slaa alifikia kanisani na alipokewa na mapadre na ndio waliompigia kampeni
 

Mkuu unafanya vizuri lakini waambie wakupandie mshahara bila ya kusahau kuongezewa POSHO.
 
Walioko makanisani na misikitini sio wapiga kura??
 

Hata average minded person atajua kwamba analysis yako (if at all it is one) ni imballanced na kwa kiasi kikubwa unaonyesha ulivyo partisan na hiyo near fanatical support yako kwa Chadema imekutia upofu. You have pickes some trivial points to justify what is otherwise an unverified set of facts. Anyway ngoja wenye chama chao wakujibu kwa data. Lakini you are a disgrace!
 

Mbona unaandika kama upo redioni? Attach hapa hizo video ili tuone. Mimi sijawahi kukosa ibada na sijawahi kusikia kampeni kanisani na ni mkatoliki. Usilete story za kwenye draft au kahawa kwenye maskani yenu!
 
kila akifika songea slaa alikuwa akilala kanisani peramiho watu wote wanajua huku,cdm ndo chama kinachokisakama cuf,hususani viongozi wake mpaka wafuasi wake.cdm tumeona kampeni za wazi zikifanywa na maaskofu makanisani
ni ubishi usio na sababu kwani ujweli upo wazi kabisa huku kwe2 slaa alifikia kanisani na alipokewa na mapadre na ndio waliompigia kampeni
 

Ka taarab kazuri! Asante da Isha Mashauzi!
 
kila akifika songea slaa alikuwa akilala kanisani peramiho...

...cdm tumeona kampeni za wazi zikifanywa na maaskofu makanisani


wakati wa kampeni Dr. W. P Slaa hakukaa siku zaidi ya mbili songea na wala hakulala Peramiho.. Acha uongo!
Mimi sijawahi kusikia kampeni kanisani wala kwenye jumuia ninayosali. Hizo ni propaganda ambazo wajinga kama wewe zinawaingia akilini!
 
Jamani Jana Kulikuwa Na Mdahalo Mlimani TV Mida Ya saa Tatu!! Kweli ilikuwa ni raha Tupu!! Ni Muda Muafaka Kwa CUF na Magamba Kutafakari Yaliyo Mbele yao ambaya Yatawatafuna!!
 
Swadakta ila umesahau NDOA YAO NA CCM zanzibar kwani ndo inawafanya washindwe hata kupambana na chadema na wanaishia kuilaumu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…